luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Ni kwamba iko online mkuu!Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jaman
Ata mm last time nili download mwenyewe kisha nikaenda ku print tu,Bado hujaeleweka! Mi nishatoa hiyo report mara mbili kwa kutumia simu yangu nikaenda print tu then nikaenda kuoata huduma sehemu husika bila matatizo yoyote.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simu 2000 ikabidi niende urafiki nako wana niambie niende magomeni ..hii itakuwa kituo cha polis kawe, ndio kawaida yao
Aisee ni shida sanaa hakika hii nchi kuendelea ni mpaka MASIHI arudidivision 4 kazini
Sasa Stationary wanathibitisha nn? Kwa vipi wanathibitisha kuhonga muhuli au?Ata mm last time nili download mwenyewe kisha nikaenda ku print tu,
Ila nimeshangaa leo wana sema nifike kituo cha polisi ili waithibitishe
Ndugu hata haieleweki stationary wana thibitisha kitu gani,Sasa Stationary wanathibitisha nn? Kwa vipi wanathibitisha kuhonga muhuli au?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu nisaidie link y kujaza /register loss reportHii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.
Je hii ni sahihi kweli jamani
Unafanuaje kujaza form online. Kila nikijaribu kujaza online inaleta errorAta mm last time nili download mwenyewe kisha nikaenda ku print tu,
Ila nimeshangaa leo wana sema nifike kituo cha polisi ili waithibitishe
Sijakuelewa madamHapo ndipo upigaji unapoanzia
Online Police Loss Report Form Tanzania 2023/2024Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary.
Je hii ni sahihi kweli jamani