Chrismoris JF-Expert Member Joined Oct 27, 2017 Posts 14,113 Reaction score 17,645 Oct 24, 2024 #21 luangalila said: Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani Click to expand... Nimetoka ku print yangu dk 10 zilizopita, sijaenda Polisi. Nimeenda stationery ku print basi.
luangalila said: Hii kitu nimekumbana nayo leo baada ya kujaza loss report online kisha kufanya malipo then nikafika kituo cha polisi ili waithibitishe ndipo askari niliye mkuta kituoni akaniambia nikathibitishie stationary. Je hii ni sahihi kweli jamani Click to expand... Nimetoka ku print yangu dk 10 zilizopita, sijaenda Polisi. Nimeenda stationery ku print basi.