interegenciadick
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 698
- 1,090
Familia nyingi upande wa mibaba yetu inakuwaga nuksi tu...... Wajomba afadhali wanajitoaga sana.
Naongea by experience.
Naongea by experience.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wadogo zake hakunaWanaume kumbukeni kuandika wosia wa miradhi hata kama bado vijana.
Wote wana haki ya kupata miradhi hiyo kwa sheria yoyote itakayo tumika kama hakuna wosia.
Baba na mama
Wadogo zake
Watoto wake
Mke wake
Nje ya hawa hakuna anayestahili mgao hata kwa sheria za dini
Huyo aliyeko Canada muambie atume matokeo ndiyo alipiwe ada.
Nakuona mjomba,hutaki mchezo. |
Sielewi kwa nini mahakama haitoi hukumu kwa huyo mama wakati ni kweli kamuua wifi yake. Ilitakiwa huyo mama afungwe maisha halafu huyu dogo abaki na hawa ndugu wa baba akili zimkae vizuri. Katika midogo iliyo lelewa kimama na hilo limo,katika hali ya kawaida kati ya familia ya baba na ya mama nani mwenye uchungu na hizo mali. Asipongalia atauza hizo mali zote akijua atamtoa mama wakati mama mwenyewe kakalia kuti kavuUmofia kwenuuu wanabodi!!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa Dc wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana hili sakata la bilionea Msuya, lakini nimeshtushwa kumbe hatimaye kwa miaka hii ambayo mke wa erasto yupo gerezani mali zimekuwa zikisimamiwa na kaka wa mwanamke huyo !
Nimejaribu kuestablish in summary vitu vichache ambavyo vitarahisisha katika kutoa ushauri:-
1.Bilionea Msuya alikuwa mfanyabiashara wa madini aliyeuwawa kwa kimiminiwa risasi maeneo karibu na KIA miaka ya 2013,wauaji walikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa.
2.Dada wa bilionea Msuya kwa majina ya Anathe Msuya aliuwawa mwaka 2016 nyumbani kwake kigamboni.Alichinjwa :na wauaji walikamatwa ambapo mmoja wao ni mke wa marehemu bilionea Msuya kwa majina ya Mirium Mrita.Mke huyu wa marehemu erasto Msuya alikiri kuhusika katika mauaji ya wifi yake kwa madai kuwa alikuwa anamtukana na kumtumia picha za wanawake wenye maumbo makubwa kwa kumkebehi (nadhani walilumbana kuhusu mali pia) kesi inaendelea na mke yupo segerea
3.Wazazi wa marehemu Erasto msuya wote wawili wako hai na inasemekana bilionea huyu utajiri wake aliupata kutoka kwa wazazi ikiwepo kupewa mali kama kitalu cha mgodi na hoteli ya SG etc etc
4.Marehemu Erasto msuya aliacha watoto wanne ambapo mtoto wa kwanza kwa majina ya kelvin Ana umri wa miaka 23 kwa Sasa! (Kwa mtoto wa kiume wa familia ya kitajiri ndo muda wa kula bata kama zote ).
5.kikao cha familia kilimteua mirium mrita kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu erasto msuya,na baadae alipokamatwa kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake alimteua ndugu yake Steven mbazi kuwa msimamizi wa mali hizo bila kuhusisha wahusika wote wa mirathi ya erasto.
6.Mjomba Mbazi analalamika ndugu wa erasto wanamtishia maisha, mjomba Mbazi ndo anasimamia SG hotel, Mjomba Mbazi amekataa kumlipia ada Glory mtoto wa erasto anayeishi canada kwa madai kwamba hajatuma matokeo
7.Mtoto wa marehemu Kelvin alitokea mbele ya vyombo vya habari mapema wiki iliyopita akiomba msaada wa raisi Magufuli kuingilia kati sakata hilo Kwani wanateseka, alitoka mbele ya vyombo vya habari akiwa na mjomba wake ambaye ni mbazi huku akiwa na vielelezo vya RB alizochukua baada ya kutishiwa na ndugu wa Erasto!
8.Ndugu wa Erasto wanacholalamika ni namna mali za kaka yao zinavyotapanywa na ndugu hao wa mwanamke, inasemekana mwanzo walikuwa wanafika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi marehemu na mkewe na wanatoka na bahasha, lakini pia licha ya kuwa wao wanasimamia mali bado hawawezi ata kuwalipia ada watoto na ndugu wanapolalamika wanaushia Kutukanwa! Wanasisitiza hawahitaji mali ila hawataki zichezewe na ndugu wa mke sababu baadae watoto watateseka! Na wanafanya kwa upendo
9.Kelvin amesikika leo Akisema anajua ni ndugu wapi wanaupendo na wao watoto, akasema ndugu wa mama ndo wanaupendo nao na sio ndugu wa baba, kama ndugu wa baba wanaupendo wanaousema basi wawe na upendo na mama yake pia aliyegerezani ( salaleeeee hapa dogo kasahau kuwa mama yake kamuua ndugu yao???🤷🏼♀️
10. Chini ya Dc Muro leo wamekubaliana kuondoa mashauri yote yaliyomahakamani ili wasuluhishe jambo hili la mali za marehemu nje yamahakama!!!!!
Naomba niishie hapa kwa niliyosahau wengine mtaongezea, tushushe ushauri hapa kusaidia jambo hili Kuisha salama
Je usajiuliza huyu illionaire alipata aje hizi mabillions?na je unajua kile kilifanya auawe kwa kupigwa risasi 23????hizi mabillions ni hela alizipata kwa njia isio safi(this billions are proceeds of very dirty deals,some involving killings and such)pls find out how easto got his billions and there is the answer to why this is taking place.nadhani umenielewa mkuu,
Huyo dogo ni kilaza sana, alikuwa anasoma chuo Australia sifahamu alimaliza ama LA.Huyo dogo anaelimu gani?
Kama hakuna wosia, wenye haki ya kupata mgawo was mirathi ni:-Wanaume kumbukeni kuandika wosia wa miradhi hata kama bado vijana.
Wote wana haki ya kupata miradhi hiyo kwa sheria yoyote itakayo tumika kama hakuna wosia.
Baba na mama
Wadogo zake
Watoto wake
Mke wake
Nje ya hawa hakuna anayestahili mgao hata kwa sheria za dini
HaswaHuyu mjomba kwa ninavyoona mimi ni tatizo namba 1
Umofia kwenuuu wanabodi!!
Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa Dc wa namna ya kushighulika na sakata hili!
Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana hili sakata la bilionea Msuya, lakini nimeshtushwa kumbe hatimaye kwa miaka hii ambayo mke wa erasto yupo gerezani mali zimekuwa zikisimamiwa na kaka wa mwanamke huyo !
Nimejaribu kuestablish in summary vitu vichache ambavyo vitarahisisha katika kutoa ushauri:-
1.Bilionea Msuya alikuwa mfanyabiashara wa madini aliyeuwawa kwa kimiminiwa risasi maeneo karibu na KIA miaka ya 2013,wauaji walikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa.
2.Dada wa bilionea Msuya kwa majina ya Anathe Msuya aliuwawa mwaka 2016 nyumbani kwake kigamboni.Alichinjwa :na wauaji walikamatwa ambapo mmoja wao ni mke wa marehemu bilionea Msuya kwa majina ya Mirium Mrita.Mke huyu wa marehemu erasto Msuya alikiri kuhusika katika mauaji ya wifi yake kwa madai kuwa alikuwa anamtukana na kumtumia picha za wanawake wenye maumbo makubwa kwa kumkebehi (nadhani walilumbana kuhusu mali pia) kesi inaendelea na mke yupo segerea
3.Wazazi wa marehemu Erasto msuya wote wawili wako hai na inasemekana bilionea huyu utajiri wake aliupata kutoka kwa wazazi ikiwepo kupewa mali kama kitalu cha mgodi na hoteli ya SG etc etc
4.Marehemu Erasto msuya aliacha watoto wanne ambapo mtoto wa kwanza kwa majina ya kelvin Ana umri wa miaka 23 kwa Sasa! (Kwa mtoto wa kiume wa familia ya kitajiri ndo muda wa kula bata kama zote ).
5.kikao cha familia kilimteua mirium mrita kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu erasto msuya,na baadae alipokamatwa kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake alimteua ndugu yake Steven mbazi kuwa msimamizi wa mali hizo bila kuhusisha wahusika wote wa mirathi ya erasto.
6.Mjomba Mbazi analalamika ndugu wa erasto wanamtishia maisha, mjomba Mbazi ndo anasimamia SG hotel, Mjomba Mbazi amekataa kumlipia ada Glory mtoto wa erasto anayeishi canada kwa madai kwamba hajatuma matokeo
7.Mtoto wa marehemu Kelvin alitokea mbele ya vyombo vya habari mapema wiki iliyopita akiomba msaada wa raisi Magufuli kuingilia kati sakata hilo Kwani wanateseka, alitoka mbele ya vyombo vya habari akiwa na mjomba wake ambaye ni mbazi huku akiwa na vielelezo vya RB alizochukua baada ya kutishiwa na ndugu wa Erasto!
8.Ndugu wa Erasto wanacholalamika ni namna mali za kaka yao zinavyotapanywa na ndugu hao wa mwanamke, inasemekana mwanzo walikuwa wanafika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi marehemu na mkewe na wanatoka na bahasha, lakini pia licha ya kuwa wao wanasimamia mali bado hawawezi ata kuwalipia ada watoto na ndugu wanapolalamika wanaushia Kutukanwa! Wanasisitiza hawahitaji mali ila hawataki zichezewe na ndugu wa mke sababu baadae watoto watateseka! Na wanafanya kwa upendo
9.Kelvin amesikika leo Akisema anajua ni ndugu wapi wanaupendo na wao watoto, akasema ndugu wa mama ndo wanaupendo nao na sio ndugu wa baba, kama ndugu wa baba wanaupendo wanaousema basi wawe na upendo na mama yake pia aliyegerezani ( salaleeeee hapa dogo kasahau kuwa mama yake kamuua ndugu yao???🤷🏼♀️
10. Chini ya Dc Muro leo wamekubaliana kuondoa mashauri yote yaliyomahakamani ili wasuluhishe jambo hili la mali za marehemu nje yamahakama!!!!!
Naomba niishie hapa kwa niliyosahau wengine mtaongezea, tushushe ushauri hapa kusaidia jambo hili Kuisha salama
Kesii badooo IKO.MAHAKAMAN tuwaachi MAHAKAMAN ya mamaUkiifatilia vizuri hii kesi unagundua kuwa huyo kijana kama alikuwa anasoma kweli nje ya nchi.Basi iko chuo au shule sio ya kupeleka mtoto wako kabsa maana anasikiliza zaidi maneno ya kuambiwa kulko kuangalia uhalisia wa tukio.Mama yako amekiri kamuua shangazi yako unawachukiaje upande wa baba yako wakati wamepoteza wapendwa wao wawili.Huyo dogo akituliza kichwa ana nafas kubwa ya kumaliza hyo kesi maana kiumri anauwezo wa kusimamia mali za baba yake.Kwa upande wangu naona FAMILIA YA BABA iko sawa zaidi japo wanaweza kuwa na mapungufu kama binadamu,Kuliko upande wa mama yake.Wamshaur kijana atulize akili yake ili asimamie mali zao na amlee mama yake huko gerezani alipo.Akae karibu na familia zote mbili upande wa Baba na Mama maana wote wanamuhusu.
Polen isanaaa hakuna jinsii ndikoo MTOTO pendwa alikolaliaaMabilionea wa Arusha mnaniangusha unang'ang'aniaje mali za marehemu shemeji yako???
Mke was marehemu atabakije kuwa msimamizi was mirathi wkt yupo mahabusu gerezani?atatoaje statement za mapato na matumizi juu ya Mali za mirathi kwa wanandugu?Nashauri huyu mtoto mkubwa was marehemu ndiye awe msimamizi was hizo Mali, apewe counseling ya kisaikolojia kwanza ili atulieMSIKILIZE DC AKIHITIMISHA KIKAOOO
NAOMBA NIWAWEKE WAZII TUNAKUJA TENA HAPA KIKAOO KIJACHO MNALWENDA KUTOA SHAURI MAHAKAMANI AMJI KUBADILI CHOCHOTE
MKE WA MAREHEMU ATABAki KUWA MSIMAMIZI WA MALI
NNA.WATOTO WA MAREHEMU WAtABAKI KUWA WAMILIKI WA MALI WAKISIMAMIWA NA MAMAYAOO
SAMAHANI KAMA UKO UKOO ULE HAPO NDIPOO WALIPOPIGWAA MSHANGAOO
NAWASHAURI MUOMBEE SANA MKISIKIA FAMILIA ZINAPINGANA KWENYE MIRATHI..MSIFURAHIE WEKA NeNO USIKU HUU MUnGU aWAPE AMANI UKOO ZILE WAELEWANE MAOMBI YA WENGI MUNGU ANATENDA WAPENDWA