Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Wadogo zake hakuna
Ni wazazi,mke na watoto
 
Ndugu wa mama siku zote huwa tatizo na ndugu wa baba pia huwa nao ni matatizo pia,wamama huwavuta watoto nakuwapandikiza chuki zidi ya upande wababa nakuwaambia watakuzurumuni mali zenu,na upande wababa mala nyingi wao ndio hujiona wenye haki zaidi na marehemu kuliko wengine.kama wangelilikuwa waislamu basi milathi yao ingelikuwa nyepesi kabisa baba wa marehemu ana haki yake ambayo imetajwa wazi mama nae anafungu lake kisha mke naye ana lake nawatoto nao wanahaki zaidi kuliko hao niliowataja huko nyuma tena kipimo kinachotumika ni chaasilimia.kiisilamu hapo kumbukeni warithi wahuyo marehemu ni mafungu 3 tu, 1 wazazi 2 mke 3 watoto.nashangaa sana munafeli wapi wakristo? Kama hamna sheria ktk kitabu chenu! musione aibu kuazima hii sheria alafu muone kama kutakuwa naugomvi tena
 
Sielewi kwa nini mahakama haitoi hukumu kwa huyo mama wakati ni kweli kamuua wifi yake. Ilitakiwa huyo mama afungwe maisha halafu huyu dogo abaki na hawa ndugu wa baba akili zimkae vizuri. Katika midogo iliyo lelewa kimama na hilo limo,katika hali ya kawaida kati ya familia ya baba na ya mama nani mwenye uchungu na hizo mali. Asipongalia atauza hizo mali zote akijua atamtoa mama wakati mama mwenyewe kakalia kuti kavu
 
Je usajiuliza huyu illionaire alipata aje hizi mabillions?na je unajua kile kilifanya auawe kwa kupigwa risasi 23????hizi mabillions ni hela alizipata kwa njia isio safi(this billions are proceeds of very dirty deals,some involving killings and such)pls find out how easto got his billions and there is the answer to why this is taking place.nadhani umenielewa mkuu,
 
Huyo mtoto apelekwe na wadogo zake kumuona mtaalam, awape unafuu wafikra na yote waliyopitia na wanayopitia sasa. DC asiamue lolote, hao watoto wakamuone counsellor kwanza. Mengi ya mama yao kuua na baba kuuwawa, wanahitaji misaada. Hao wajomba waelezee juu ya mali, kama wanaiba huku hata watoto hawasoni basi wachukuliwe hatua.
 

Hapo kama hakuna ushahidi, hakuna la kufanyika. Kama itasaidia umeogopa nini kuelezea?
 
Ukiifatilia vizuri hii kesi unagundua kuwa huyo kijana kama alikuwa anasoma kweli nje ya nchi.Basi iko chuo au shule sio ya kupeleka mtoto wako kabsa maana anasikiliza zaidi maneno ya kuambiwa kulko kuangalia uhalisia wa tukio.Mama yako amekiri kamuua shangazi yako unawachukiaje upande wa baba yako wakati wamepoteza wapendwa wao wawili.Huyo dogo akituliza kichwa ana nafas kubwa ya kumaliza hyo kesi maana kiumri anauwezo wa kusimamia mali za baba yake.Kwa upande wangu naona FAMILIA YA BABA iko sawa zaidi japo wanaweza kuwa na mapungufu kama binadamu,Kuliko upande wa mama yake.Wamshaur kijana atulize akili yake ili asimamie mali zao na amlee mama yake huko gerezani alipo.Akae karibu na familia zote mbili upande wa Baba na Mama maana wote wanamuhusu.
 
Kama hakuna wosia, wenye haki ya kupata mgawo was mirathi ni:-
1.Mke au wenza wa marehemu
2.Watoto wa marehemu
3.Wazazi wa marehemu
4.Wategemezi wengine was marehemu ambao wanatambulika kisheria, e.g. legally adopted children
Nje ya hao hakuna MTU mwingine yoyote mwenye haki ya kudai mgawo wa mirathi
 

SEma yoteee NDUGU WA baba walimuunganisha kesi ya mama YAKE ILI.......
Usimumunye hayoo
T uyaache tutafutee UPENDO na AMANI
Ussahauu kuna MAISHA BAADA ya DUNIAN ukiona NDUGU awaelewani usitake MENGI zaidi waombeee waelewane

Kila LA KHERI next mtmg
 
MSIKILIZE DC AKIHITIMISHA KIKAOOO

NAOMBA NIWAWEKE WAZII TUNAKUJA TENA HAPA KIKAOO KIJACHO MNALWENDA KUTOA SHAURI MAHAKAMANI AMJI KUBADILI CHOCHOTE

MKE WA MAREHEMU ATABAki KUWA MSIMAMIZI WA MALI

NNA.WATOTO WA MAREHEMU WAtABAKI KUWA WAMILIKI WA MALI WAKISIMAMIWA NA MAMAYAOO

SAMAHANI KAMA UKO UKOO ULE HAPO NDIPOO WALIPOPIGWAA MSHANGAOO

NAWASHAURI MUOMBEE SANA MKISIKIA FAMILIA ZINAPINGANA KWENYE MIRATHI..MSIFURAHIE WEKA NeNO USIKU HUU MUnGU aWAPE AMANI UKOO ZILE WAELEWANE MAOMBI YA WENGI MUNGU ANATENDA WAPENDWA
 
Kesii badooo IKO.MAHAKAMAN tuwaachi MAHAKAMAN ya mama
Kingine kukiri polisi na MAHAKAMAN VITU VIWILI TOFAUTI tusiingie MBALI zaidi tuiache MAHAKAMA ifanye. kazi
 
Mke was marehemu atabakije kuwa msimamizi was mirathi wkt yupo mahabusu gerezani?atatoaje statement za mapato na matumizi juu ya Mali za mirathi kwa wanandugu?Nashauri huyu mtoto mkubwa was marehemu ndiye awe msimamizi was hizo Mali, apewe counseling ya kisaikolojia kwanza ili atulie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…