Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

We
[/QUOTE]
Kweli mkuu nimefuatilia comments nyingi kwenye huu uzi nimegundua wachangiaji wengi humu hawamjui Erasto wanachangia kwa mihemko.
 
Watu wanaropoka tu hawajui hata hiyo hotel ina miaka mingapi tangu imejengwa., Erasto alipewa mgodi kuwa bilionea ni juhudi zake mwenyewe kwani kuna wachimbaji wangapi ambao hata hawana huo ubilionea?
Acha tu mkuu nimefuatilia huu mjadala mpaka nimecheka bahati nzuri nimeishi Mirerani kipindi Erasto anaanza kupata hela kabla hata hajajenga ile hotel ya Mirereni na hii SG ya hapa town.
 
Acha tu mkuu nimefuatilia huu mjadala mpaka nimecheka bahati nzuri nimeishi Mirerani kipindi Erasto anaanza kupata hela kabla hata hajajenga ile hotel ya Mirereni na hii SG ya hapa town.

Kwa wazazi waerasto wapo sahihi?
 
Kwa wazazi waerasto wapo sahihi?
Siwezi kua na jibu la moja kwa moja kwa sababu Mara nyingi kwenye ugomvi wa kugombea mali za marehemu kila mmoja anavutia kwake.

Ila kwa hii ishu kikubwa kinachogombewa hapo ni usimamizi wa mirathi baada ya msimamizi mkuu ambaye ni mke wa marehemu kutoa power of attorney kwa kaka yake. Ambapo ndugu wa marehemu inaonekana hawajaridhika.

Lakini ukumbuke kua inasemekana marehemu aliacha usia kwamba asilimia 40 ya pesa zake wapewe wazazi wake na dada zake kitu ambacho inasemekana mke wa marehemu alishakitimiza. Kwenye mgao huo baba na mama wa marehemu walipata shilingi million 200 kila mmoja na dada wa marehemu around 75mil kila mmoja.
Sasa kama wana haki au hawana ya kuendelea kupigania mali za ndugu yao sisi hayatuhusu tuachie mamlaka na vikao vya familia vitaamua.
 
Family matters hatuna haja ya kuingilia na sisi tupambane na ya familia zetu.
 
Kumbe unaijua hiyo familia vizuri,mbazi mbele ya safari atapewa kesi ya uwizi mana anaiba sana kwavile toto nalo ni kilaza
 
Hotel inabiashara kubwa sana msimu wa utalii kuna kampuni nyingi za utalii zinalaza wageni pale,kuna kampuni ya climbkili inalaza wageni hapo wa kutosha mana ni kampuni kubwa
 
Rugemalila wa PAP yupo Mahabusu mwaka wa 3 sasa na anasaini pesa zake zote na kuendesha Kampuni.
Kama Miriam anamuamini Kaka yake hao wengine wanafuata nini?km Mali hazikuchumwa kihalali wazee wanahusikaje km ni huo mgodi wachukue lkm Mtoto Kelvin aendelee na Mama yake wakisaidiwa na mjomba
Huyu Bilionea alishawahi kumfukia mwenzake humohumo shimoni ktk mitobozano ukiishi kwa upanga utaondoka kwa upanga, na mali ikija kiaina acheni iondoke kiaina
post: 33225813 said:
Marehemu alikua mpigaji sana, dhulumati. Hakuna asiyejua Mererani na Arusha mkuu. Amevuna alichopanda. Mali zitapotea zote hizo.
ni sahihi kabisa Mjomba (Mmbazi) asimamie haya maswala kwa niaba ya Dada yake
Mkuu wa Wilaya kaamua sawa kabisa, Mali zigawanywe kwa Watoto na Mama yao FINISH
 
Hahaha ndio shida kusomesha watoto hizi academy, wanajua kizungu akili hawana.

Hili swala ccm waache kujiingiza huko kutafuta sifa, waiachie mahakama ifanye kazi yake.
Atakayeshindwa akate rufaa na kinyume chake mpaka mwisho.
 
tatizo kubwa naloliona hapo shangazi mtu ambaye Doctor kiongozi wa familia ukoo wa msuya anataka huyo mtoto aongeze elimu kiwango cha diploma ndipo anaweza kusimamia hizo mali zote ndio hapo mambo yalipoazia kutimbwirika
Ni kweli kabisa Shangazi Bibi na Babu ndio wabaya wanaona dalili za kuikosa mali ya Bilionea ndipo wanamlazimisha mtoto akasome kwanza hayo ni MAJIVUNI ya Shangazi hayahusiani na kurithi mali, mpeni mali baadae atasoma
Bora Mjomba asimamie mali kwa maelekezo ya Dada Miriam hata km yupo Jela
Hizi Mali hazimuhusu Jerry Muro alipofikia ni sahihi kabisa Mali ni za Watoto na Mama
 
Mkuu inaonyesha hujui hii issue vizuri na wala hujaifuatilia kwa karibu..
anza upya kupitia zile clip za YouTube na mabandiko kadhaa humu jf toka erasto auliwe
utapata mwanga
USIWAPOTOSHE MEMBER
Mnadanganya mnapoanzia baada ya kifo hapo Mijohoroni KIA
anzia pale walipozikana mali na mwenzake aliyefungwa na kulazwa Babati, fuatilia Bilionea alivyomfukia mwenzake shimoni, hao wazazi ni waongo walichompa ni mgodi tu, si Hotel wala mali
Bilionea ni biashara yake na mkewe na walichofanya kitalipwa hapahapa damu zinawarudia acheni Watoto warithi mali za Baba na Mama na Mjomba km ana radhi toka kwa mke wa Marehemu acheni asimamie
zikipotea hazituhusu Mkuu wa Wilaya yupo sahihi
 
Dada yao ndio aliwafanya hata ngozi za mwili ziwe soft mana walikua kama wapasua kokoto
Hizo ni chuki za wapambe tu
Mali hamuijui ilivyopatikana mngewaachia watoto na Mama waamue ni nani awasimamie Mama yao akiwa Mahakamni hata km akifungwa, na kama wamemuona Mbazi (Mjomba) anawafaa aendelee Mali ikipotea ni yenu km ina mazindiko, kafara au mauaji wazazii na ndugu hawahusiki hata yatakayowapata ni yao
Serikali chini ya Muro imefanya vizuri kabisa kusema warithi wawe Watoto wakimuachia yeyote ni sawa yao
Babu, Bibi na mashangazi walishapewa mgawo wao hawajui mali iilipatikana vipi ndio maana hata mama haogopi mauaji
 
eti shangazi anasema kijana hawezi kusimamia mali akiwa na elimu ya diploma dah kweli, mbona baba mtu hakuwa na degree ila alikuwa billionaire mzuri tu.
 

Hivi ww unatumia nn kufikiri? Eti unaandika erasto alipewa mgodi hakupewa mali.....Kwani mgodi ni nini? Sio Mali hiyo? Huko kwenye mgodi alikuwa anavuna mchanga eeh sio madini ambayo yaliuzwa yakaleta pesaa??

Unaposema wazazi na ndugu wa erasto wasiingilie unakosea kwa kuwa tayari mtoto wa kambo amebaguliwa kwenye huduma hivyo ni lazima wa kumtetea wawe bibi babu na shangazi kwamba wagaiwe wote pasu kwa pasu atakayeona anataka kusimamiwa na mtu basi iwe hivyo. Atakayeamua kuuza auze. Sio Kama Sasa wanapouza kiholela na anayefaidi ni mama na mjomba na kusahau binti wa kambo ambaye kiuhalisia miriam anamtenga. Upo hapo??
 
Kumbe Glory ni binti wa kambo 😭sasa nimeelewa zaidi! Tatizo hao watoto wasipopata usimamizi mzuri kwa Sasa wakifikisha miaka ya kina sisi tutakutana nao wamepigika sana maana hapo kwa Sasa wajomba wanawanyonyaaa na hiyo mentality yao kwamba mama yao atatoka huko jela ndo itawacost, watajifilisiiii
 
Kwa wazazi waerasto wapo sahihi?
Mimi naona wapo sahihi kwa sababu wanachotaka ni mali za marehemu zigawanywe kwa watoto, zikigawanywa na mtoto akachezea mali zake hata mlaumu mtu, ila zikisambaratishwa na hao ndugu wa mke wanaweza kuja kusema tulikuwa wadogo hamku tushauri, na kwa vyovyote lazima watarudi kwa bibi na bau/shangazi kulelewa maana ndio mdugu zao. Wazazi wa Erasto hawahitaji mali za Erasto bali wanataka kuzilinda tu.
 
Kumbe unaijua hiyo familia vizuri,mbazi mbele ya safari atapewa kesi ya uwizi mana anaiba sana kwavile toto nalo ni kilaza
Ataiba mpaka huyu mtoto achanganyikiwe na siku mtoto akishtuka lazima ataundiwa zengwe au hata kuuwawa waseme ni familia ya babu inahusika au anaweza kumuingiza kwenye madawa ili awe teja mjomba aendelee kula, familia ya kimaskini sana yaani hata hao mama wadogo wameanza kunawiri baada ya Erasto kufa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…