Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Je, ni sahihi Steven Mbazi kusimamia mali za Bilionea? Tumpe ushauri DC Jerry Muro katika utatuzi wa sakata hili la mali

Hivi ww unatumia nn kufikiri? Eti unaandika erasto alipewa mgodi hakupewa mali.....Kwani mgodi ni nini? Sio Mali hiyo? Huko kwenye mgodi alikuwa anavuna mchanga eeh sio madini ambayo yaliuzwa yakaleta pesaa??
Unaposema wazazi na ndugu wa erasto wasiingilie unakosea kwa kuwa tayari mtoto wa kambo amebaguliwa kwenye huduma hivyo ni lazima wa kumtetea wawe bibi babu na shangazi kwamba wagaiwe wote pasu kwa pasu atakayeona anataka kusimamiwa na mtu basi iwe hivyo. Atakayeamua kuuza auze. Sio Kama Sasa wanapouza kiholela na anayefaidi ni mama na mjomba na kusahau binti wa kambo ambaye kiuhalisia miriam anamtenga. Upo hapo??
Mama Bishanga unajua unaongea kitu cha kuhadithiwa miaka 7 iliyopita ambapo tulishajadili hapa jamvini na kujua kwanini Mke wa Marehemu aliondoka nyumbani na kupisha Dada za marehemu km ni jikoni au kitandani. Erasto alikuwa na mgodi wake ambao mtoto anaudai km mirathi na sio migodi ya Babu ambayo haina kitu
Mali za maruweruwe hebu ziacheni kwanini Babu Bibi na mashangazi wanazitaka, hata km ni mtoto wa nje atapewa siamini km Mbazi anania ya kumdhulumu
Hebu mwacheni Mkuu wa wilaya aendelee na msimamo wake, watoto watajijua hata huyo Glory wa Kambo apewe mali zizaane au zipotee sisi watazamaji kwani hamjui sisi tuliokuwepo enzi hizo Cairo na Lubumbashi tulimuogopaje Erasto na Sharrif

  1. Erasto alikuwa anamiliki mgodi wa Kalo uliopo Mererani na pia migodi mingine miwili ya baba yake Kikaango Msuya iliopo block B Mererani.
    Mbali na migodi hiyo, Erasto alikuwa anamiliki vitegauchumi kadhaa ikiwamo hoteli moja kubwa inayojulikana kwa jina la SG Resort, iliyopo Sakina, Arusha.
    CHANZO: NIPASHE
    [*]
  2. 11889989 said:
    Marehemu Erasto Mashine akijua tu una mawe au access ya kuwa na mawe(tanzanite) ya kutosha, anadeal na wife wako na akimpata tu yeye anachofanya ni kumtuma aibe mawe ya mume na kumletea yeye.
    sasa alifanya hivyo kwa Sharifu ndio wakatengeneza mtego wakamuua.
    kashatembea na wake za wenye migodi wengi tu akiwepo mke wa Jungle master mdogo.
    asililimia 90 ya appolo walifurahishwa na kifo cha erasto mashine.
  3. umesahau kifo chake pia ni pigo la mungu kwa kutembea na dadake mzazi toka ntoke kitendo kilichomfanya mkewe kuishi kama kimada zaidi ya miaka kadhaa ya ndoa yao ....nasema hivi kila mwosha huoshwa kama uamini uliza waliofika msibani chezea ndoa usimchezeee mungu malipo hapa hapa duniani
    asaaalhaaam alheikum
    amemaliza kazi yake tugange yajayo
 
Hotel inabiashara kubwa sana msimu wa utalii kuna kampuni nyingi za utalii zinalaza wageni pale,kuna kampuni ya climbkili inalaza wageni hapo wa kutosha mana ni kampuni kubwa
Kwendraaa, we unafahamu kampuni kubwa za utalii wewe? Halafu hiyo climbkili ikileta wageni kwa msimu tu ndo biashara kubwa? Kuna kampuni kubwa za utalii sio hiyo. Wazaz Na fada Wa marehemu walishapewaga mgao Wao 40%, waridhike Mali ni za familia ya erasto
Hotel inabiashara kubwa sana msimu wa utalii kuna kampuni nyingi za utalii zinalaza wageni pale,kuna kampuni ya climbkili inalaza wageni hapo wa kutosha mana ni kampuni kubwa
Hizo ni chuki za wapambe tu
Mali hamuijui ilivyopatikana mngewaachia watoto na Mama waamue ni nani awasimamie Mama yao akiwa Mahakamni hata km akifungwa, na kama wamemuona Mbazi (Mjomba) anawafaa aendelee Mali ikipotea ni yenu km ina mazindiko, kafara au mauaji wazazii na ndugu hawahusiki hata yatakayowapata ni yao
Serikali chini ya Muro imefanya vizuri kabisa kusema warithi wawe Watoto wakimuachia yeyote ni sawa yao
Babu, Bibi na mashangazi walishapewa mgawo wao hawajui mali iilipatikana vipi ndio maana hata mama haogopi mauaji
Yani wewe ndo unafaham vizuri hii issue. Watu wanadandia train kwa mbele hata hawajui hii issue. Bibi babu Na Shangaz waridhike Na waachie watt Na mama yao malo ni Haki yao
 
wewe ndo unafaham vizuri hii issue. Watu wanadandia train kwa mbele hata hawajui hii issue. Bibi babu Na Shangaz waridhike Na waachie watt Na mama yao malo ni Haki yao
unajua hizi mali walizopata matajiri wa Mirerani zilikuwa Mali za Kampuni ya Tanzanite One ya kina Ally Mpungwe Balozi wetu kule SA, wakitumia mashiene za kisasa zinazotafuta kisayansi sio km ss tuliotumia cherenge na makarai
Sasa mpaka wanauana kisa ni wanaapollo waliokuwa wanalipiwa mlangoni kwa walinzi kule Tanzanite One usiku wakiondoka wenye mgodi na matajiri Chusa, Erasto, Sharrif na wengine na wakifika chini wanabeba au kupiga baruti na kutoka na mawe juu ya ardhi na kuwakuta matajiri, ambao wanalipwa vizuri, sasa mazishi yakaanza kwa wale mabahili, mara wakaanza kuwindana chini kwa chini wakauana, jamaa yetu akamchoma xxxx akafungwa, akiwa jela akakaa Hosp akapanga mauaji
Kwa hiyo mali za wizi/mauaji hazikutoka kwa Babu au Baba zimeanzia kwa Erasto na mke alikuwa akijua umafia wote na akaachika sasa alipokufa mumewe ndipo Mke akarudi kuja kuponda mali na machalii wa Atown akiwa na Hoteli km maghorofa matatu na mali kibao. Sasa jiulize kwanini kina Shangazi nao walikuwa nyuma ya picha km mali ni ya Tanzanite One
Nasema ni mali halali ya mume na mke kwani hazikutoka katika Mgodi halali wa urithi wa Babu ni mihangaiko ya Erasto na mkewe ndipo wakajenga na vingine. Babu Bibi na Mashangazi 40% ya pesa wakaendelee na yao
Sheria ifuate mkondo watoto, halali na Mke wa ndoa wagawane, kilichobaki ni hao wa nje
Babu Bibi na Shangazi walishapewa, km Mjomba mwizi hayatuhusu km mali sio ya wizi tutajuaje
Cha mgema huliwa na mlevi, ukifuatilia hizo link utaona maajabu ya hao wafanyabiashara ambao wote wamefilisika hiyo Kampuni imesharudi kwao na scanner zao, wale wahindi, wakenya na wazungu ambao ni wanunuzi wameshaondoka ni umasikini tu sasa HAWAUANI tena, sasa wanataka ugomvi na kweli kwa hao watu hautaisha TUPO
 
Ndugu wa mama siku zote huwa tatizo na ndugu wa baba pia huwa nao ni matatizo pia,wamama huwavuta watoto nakuwapandikiza chuki zidi ya upande wababa nakuwaambia watakuzurumuni mali zenu,na upande wababa mala nyingi wao ndio hujiona wenye haki zaidi na marehemu kuliko wengine.kama wangelilikuwa waislamu basi milathi yao ingelikuwa nyepesi kabisa baba wa marehemu ana haki yake ambayo imetajwa wazi mama nae anafungu lake kisha mke naye ana lake nawatoto nao wanahaki zaidi kuliko hao niliowataja huko nyuma tena kipimo kinachotumika ni chaasilimia.kiisilamu hapo kumbukeni warithi wahuyo marehemu ni mafungu 3 tu, 1 wazazi 2 mke 3 watoto.nashangaa sana munafeli wapi wakristo? Kama hamna sheria ktk kitabu chenu! musione aibu kuazima hii sheria alafu muone kama kutakuwa naugomvi tena
[/QUOTE
Wakristo namba 1 ni watoto
 
Umofia kwenuuu wanabodi!!

Awali ya yote ningependa sana kumpongeza Dc Jerry Muro kwa jitihada zake za kuingilia Kati sakata hili la mali za marehemu .Naomba tuutumie uzi huu kama njia ya kumpa ushauri mheshimiwa Dc wa namna ya kushighulika na sakata hili!

Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu sana hili sakata la bilionea Msuya, lakini nimeshtushwa kumbe hatimaye kwa miaka hii ambayo mke wa erasto yupo gerezani mali zimekuwa zikisimamiwa na kaka wa mwanamke huyo !

Nimejaribu kuestablish in summary vitu vichache ambavyo vitarahisisha katika kutoa ushauri:-

1.Bilionea Msuya alikuwa mfanyabiashara wa madini aliyeuwawa kwa kimiminiwa risasi maeneo karibu na KIA miaka ya 2013,wauaji walikamatwa na kuhukumiwa kunyongwa.

2.Dada wa bilionea Msuya kwa majina ya Anathe Msuya aliuwawa mwaka 2016 nyumbani kwake kigamboni.Alichinjwa :na wauaji walikamatwa ambapo mmoja wao ni mke wa marehemu bilionea Msuya kwa majina ya Mirium Mrita.Mke huyu wa marehemu erasto Msuya alikiri kuhusika katika mauaji ya wifi yake kwa madai kuwa alikuwa anamtukana na kumtumia picha za wanawake wenye maumbo makubwa kwa kumkebehi (nadhani walilumbana kuhusu mali pia) kesi inaendelea na mke yupo segerea

3.Wazazi wa marehemu Erasto msuya wote wawili wako hai na inasemekana bilionea huyu utajiri wake aliupata kutoka kwa wazazi ikiwepo kupewa mali kama kitalu cha mgodi na hoteli ya SG etc etc

4.Marehemu Erasto msuya aliacha watoto wanne ambapo mtoto wa kwanza kwa majina ya kelvin Ana umri wa miaka 23 kwa Sasa! (Kwa mtoto wa kiume wa familia ya kitajiri ndo muda wa kula bata kama zote ).

5.kikao cha familia kilimteua mirium mrita kuwa msimamizi wa mirathi ya marehemu erasto msuya,na baadae alipokamatwa kwa tuhuma za mauaji ya wifi yake alimteua ndugu yake Steven mbazi kuwa msimamizi wa mali hizo bila kuhusisha wahusika wote wa mirathi ya erasto.

6.Mjomba Mbazi analalamika ndugu wa erasto wanamtishia maisha, mjomba Mbazi ndo anasimamia SG hotel, Mjomba Mbazi amekataa kumlipia ada Glory mtoto wa erasto anayeishi canada kwa madai kwamba hajatuma matokeo

7.Mtoto wa marehemu Kelvin alitokea mbele ya vyombo vya habari mapema wiki iliyopita akiomba msaada wa raisi Magufuli kuingilia kati sakata hilo Kwani wanateseka, alitoka mbele ya vyombo vya habari akiwa na mjomba wake ambaye ni mbazi huku akiwa na vielelezo vya RB alizochukua baada ya kutishiwa na ndugu wa Erasto!

8.Ndugu wa Erasto wanacholalamika ni namna mali za kaka yao zinavyotapanywa na ndugu hao wa mwanamke, inasemekana mwanzo walikuwa wanafika kwenye nyumba aliyokuwa akiishi marehemu na mkewe na wanatoka na bahasha, lakini pia licha ya kuwa wao wanasimamia mali bado hawawezi ata kuwalipia ada watoto na ndugu wanapolalamika wanaushia Kutukanwa! Wanasisitiza hawahitaji mali ila hawataki zichezewe na ndugu wa mke sababu baadae watoto watateseka! Na wanafanya kwa upendo

9.Kelvin amesikika leo Akisema anajua ni ndugu wapi wanaupendo na wao watoto, akasema ndugu wa mama ndo wanaupendo nao na sio ndugu wa baba, kama ndugu wa baba wanaupendo wanaousema basi wawe na upendo na mama yake pia aliyegerezani ( salaleeeee hapa dogo kasahau kuwa mama yake kamuua ndugu yao???🤷🏼‍♀️

10. Chini ya Dc Muro leo wamekubaliana kuondoa mashauri yote yaliyomahakamani ili wasuluhishe jambo hili la mali za marehemu nje yamahakama!!!!!

Naomba niishie hapa kwa niliyosahau wengine mtaongezea, tushushe ushauri hapa kusaidia jambo hili Kuisha salama

MALI ZOTE ZIGAWIWE WATOTO WOTE.

WAJOMBA WASIINGILIE MALI ZISIZOWAHUSU
 
Hizo ni chuki za wapambe tu
Mali hamuijui ilivyopatikana mngewaachia watoto na Mama waamue ni nani awasimamie Mama yao akiwa Mahakamni hata km akifungwa, na kama wamemuona Mbazi (Mjomba) anawafaa aendelee Mali ikipotea ni yenu km ina mazindiko, kafara au mauaji wazazii na ndugu hawahusiki hata yatakayowapata ni yao
Serikali chini ya Muro imefanya vizuri kabisa kusema warithi wawe Watoto wakimuachia yeyote ni sawa yao
Babu, Bibi na mashangazi walishapewa mgawo wao hawajui mali iilipatikana vipi ndio maana hata mama haogopi mauaji
Sawa mbazi tunamjua erasto akiwa na corrola wewe ukiwa kwenu usangi unachunga kondoo
 
Hivi ww unatumia nn kufikiri? Eti unaandika erasto alipewa mgodi hakupewa mali.....Kwani mgodi ni nini? Sio Mali hiyo? Huko kwenye mgodi alikuwa anavuna mchanga eeh sio madini ambayo yaliuzwa yakaleta pesaa??

Unaposema wazazi na ndugu wa erasto wasiingilie unakosea kwa kuwa tayari mtoto wa kambo amebaguliwa kwenye huduma hivyo ni lazima wa kumtetea wawe bibi babu na shangazi kwamba wagaiwe wote pasu kwa pasu atakayeona anataka kusimamiwa na mtu basi iwe hivyo. Atakayeamua kuuza auze. Sio Kama Sasa wanapouza kiholela na anayefaidi ni mama na mjomba na kusahau binti wa kambo ambaye kiuhalisia miriam anamtenga. Upo hapo??
Huyo ndgu wa mke nae itakua alikua ni bi mdogo wa erasto sio kwa povu hilo
 
Kwanza yule aliyeua kwa kusudia
HUKUMU ya Haki inamuhusu
2. Kama mke alirithiwa na kikao cha mirathi nadhani baada ya kuwa gerezani kikao kinateua mwingine sio mbio za kupokezana hizo

3. Yale mauaji yaangaliwe sana yanaweza husika na mirathi sio picha za makalio makubwa.

Wauaji wa Msuya wakibanwa vizuri yupo aliyewatuma ambaye yupo hai. Ambaye huenda anataka mali
Marwhemu hajaacha wosia, lkn upo ushahidi wa kupewa mtaji na wazazi mgawo uanzie hapo

Kama mke aliua ili arithi mali na ikathibitika pasipo shaka apate Zero na mvua ili kuwa fundisho

Kama kuna element za upande wa baba kutaka mali nao uchunguzwe
 
Kwendraaa, we unafahamu kampuni kubwa za utalii wewe? Halafu hiyo climbkili ikileta wageni kwa msimu tu ndo biashara kubwa? Kuna kampuni kubwa za utalii sio hiyo. Wazaz Na fada Wa marehemu walishapewaga mgao Wao 40%, waridhike Mali ni za familia ya erasto

Yani wewe ndo unafaham vizuri hii issue. Watu wanadandia train kwa mbele hata hawajui hii issue. Bibi babu Na Shangaz waridhike Na waachie watt Na mama yao malo ni Haki yao
Sawa mjomba mana unanawiri na pesa za marehemu lazima nawe ni bi mdogo wa erasto,njaa zitawaua mnapambana iwe yenu
 
Sawa mbazi tunamjua erasto akiwa na corrola wewe ukiwa kwenu usangi unachunga kondoo
QUOTE="tweenty4seven, post: 33251071, member: 172460"]
Sawa mjomba mana unanawiri na pesa za marehemu lazima nawe ni bi mdogo wa erasto,njaa zitawaua mnapambana iwe yenu
[/QUOTE]
Huyo ndgu wa mke nae itakua alikua ni bi mdogo wa erasto sio kwa povu hilo
sasa hasira za nini, na unachokitetea hakijulikani kwanini upinge maamuzi ya Mkuu wa Wilaya,
WATOTO NA MAMA YAO NDIO WARITHI MALI ZA BABA YAO
Mimi sio Mpare na Erasto utajiri wake wewe unaoujua,wala hakuupata kwa Baba yake ni mapigo yake na wanaApollo kama kachuma janga mwache achume na wanawe na mkewe na ni kutoka mgodi wa Tanzanite One
naona mmekodiwa kuja kumtengenezea Babu ulaji, ungefika hapo Zaire au Cairo miaka ile ndio ungejua uyasemayo na uninja wa familia hiyo kwani hata huyo Miriam Mrita alijifunza kila kitu kutoaka kwa matendo ya mumewe
Ndio maana yupo Jela
 
Poua Shangazi, si unakumbuka pia wewe Ulkua unaliwa Na erasto? Rizikeni Na mgao mlopewaa, acheni tamaa
UMEGUNDUA KUNA KITU HAPO??
yaani hao nao ni wapare wanaingia humu kuzorotesha juhudi za Mkuu wa Wilaya kwani wanakwama mahali, wapo wengi na wameanzisha Mada.
Mkuu wa Wilaya kawaambia acheni kutumia mitandao, vitu vibakie mezani maamuzi yasibadilike Mali ni za watotona Mama yao
Mfano leo Mkuu wa Mkoa wa Kolamija kapata Mali lukuki HATUMUOMBEI
eti ghafla hayupo atokee Baba na Shangazi waseme Mali na elimu tulimpa sisi akamaliza Form 6 kwa hiyo Mke asipewe kitu wakati akitafuta mali wote tunamuona, inatofauti gani na Erasto Maguashi zake hakurithi leo mnataka mdhulumu kwanini msichukue mgodi wenu hiyo miwili mpeni mtoto
 
Diploma TU, Mjinga , Kabisa, Kakalia kugombea Mali BADALA ya kwenda shule
Kwani Erasto alikuwa na Diploma, kuendesha mali hakutakiwi kuwa na hata Cheti
huyo shangazi ana madegree kwanini hana mali?
Mali mpeni mtoto akizimaliza ni zake
Laana itawakumba ninyi wenye wivu ambao hamkuchuma chochote na wala Babu hakutoa lolote km Mgodi anao aachie wa Mjukuu
 
Kihusu hayo mauwaji ya wifie ilikuwaje
Maelezo ya mashahidi
Baada ya kumaliza kutaja idadi na
majina ya mashahidi pamoja na
vielelezo, mawakili hao wa
upande wa mashitaka walianza
kuwasomea washtakiwa maelezo
ya mashahidi wote
wanaotarajiwa kutoa ushahidi
katika kesi hiyo.
Mawakili hao waliwasomea
washtakiwa maelezo ya
mashahidi hatua kwa hatua, kwa
kupokezana kila baada ya kusoma
maelezo ya mashahidi kadhaa,
kazi ambayo ilitumia takribani saa
tano, kuanzia saa 5.15 asubuhi
mpaka saa 9.55 alasiri, Alhamisi
iliyopita
Pamoja na mambo mengine
yaliyomo katika maelezo ya
mashahidi hao, mawakili hao
walidai mshitakiwa wa kwanza,
Miriam alikiri kuhusika katika
mauaji hayo na kueleza sababu na
mpango wa namna
walivyotekeleza mauaji
Mipango ya mauaji
Wakili Mwita alidai washtakiwa
katika kutekeleza mauaji hayo
walimtafuta mfanyakazi wa ndani
wa Aneth.
Alidai Mei 5, 2016 , Miriam na
mwenzake walienda Kibada
alikokuwa akiishi Aneth na
kwamba kabla ya kufika katika
nyumba ya Aneth, alikutana na
mfanyakazi huyo wa ndani wa
Aneth, aitwaye Getrude Mafuru
ambaye alikuwa anaenda dukani
kununua karatasi za chooni (toilet
paper).
Wakili Mwita alidai mshtakiwa
Miriam alishusha kioo cha gari la
kifahari lenye rangi ya bluu
alimokuwamo na kumuita
Getrude ambaye aliitikia wito na
akamuuliza mahali Aneth
alikokuwa akiishi. Alidai kuwa
Getrude alimueleza kuwa Aneth
anakaa nyumba iliyokuwa
inafuata, kutoka walikokuwa
wamesimama na kisha Miriam
alimuahidi msichana huyo kuwa
angepita kesho, kisha alipandisha
kioo cha gari yake na kuondoka.
Siku iliyofuata, Wakili Mwita alidai
Miriam alienda tena hadi karibu
na nyumba aliyokuwa akiishi
Aneth, ambapo alimuona Getrude
akichota maji nyumba ya jirani na
akamuita na msichana huyo
alipomfikia, Miriam alimtaka
apande katika gari hilo. Kwa
mujibu wa maelezo hayo, Wakili
Mwita alidai msichana huyo
aliingia ndani ya gari hilo na
Miriam akampatia simu ndogo
yenye rangi nyeusi.
Mwita alidai kuwa wakati Getrude
anapewa simu na Miriam,
mshitakiwa wa pili yeye alikuwa
amekaa nyuma huku akiwa
amemuwekea Getrude bastola
begani na kwamba Miriam
alimwambia msichana huyo
asimwangalie Muyella bali
amwangalie yeye.
Wakili Mwita alidai Miriam
alimweleza Getrude kuwa simu
hiyo ni ya mawasiliano baina yao
wawili huku akimweleza sio kwa
ajili ya kumpigia mtu mwingine
yeyote.
Alidai Getrude ambaye alikuwa
analipwa mshahara wa Sh 60,000
alieleza kuwa sura ya Miriam
alishawahi kuiona Moshi, kwa bibi
yake yaani kwa mama yake
marehemu Aneth, alikokuwa
kabla ya kwenda kwa Aneth, na
kwamba Miriam alikwenda
nyumbani hapo na mumewe
Erasto Msuya enzi za uhai wake.
Wakili Mwita aliendelea kudai
kuwa Mei 23, 2016 saa tisa
mchana, Miriam alimpigia Getrude
na kumwambia anataka kuonana
naye, huku akimwelekeza mahali
alikokuwa.
Alidai kuwa Getrude alikwenda
hadi mahali lilipokuwa
limeegeshwa gari la washitakiwa
hao, karibu na nyumba ya Aneth
na kisha binti huyo aliingia katika
gari hilo.
Wakili Mwita alidai Getrude akiwa
ndani ya gari hilo aliiona pochi ya
Miriam ikiwa imejaa hela zikiwa
zimefungwa na mpira
mwembamba, na Miriam akampa
Sh 20,000.
Alidai baada ya kumpa fedha hizo,
Miriam alimsisitiza Getrude
aondoke nyumbani kwa Aneth
kabla ya Mei 25, 2016 na kwamba
simu hiyo aliyompa aitupe
sehemu ambayo mtu mwingine
hawezi kuiona.
Wakili Mwita alidai Mei 25, 2016
Getrude aliondoka nyumbani kwa
Aneth na ufunguo wa geti
aliupeleka kwa jirani yao, kisha
akampigia simu Aneth kuwa
ufunguo wa ndani upo chini ya
kapeti la kufutia vumbi lililopo
mlangoni na kwamba ufunguo wa
getini upo kwa jirani yao.
Alidai Getrude aliondoka na
kwenda Chanika kwa mchumba
wake aitwaye Sabri Kombo, na
kwamba wakati akiwa kwenye
pantoni, aliitupa simu hiyo
baharini na alipofika kwa mpenzi
wake alimwelezea mambo
aliyoambiwa na Miriam. Akiwa
Chanika, Wakili Mwita alidai kuwa
Getrude alipigiwa simu na bibi
yake, yaani mama wa Aneth na
kumweleza kuwa Aneth ameuawa
kwa kukatwa koromeo.
Kwa upande wake Wakili Nguka
alidai baada ya tukio, hilo timu ya
askari wa upelelezi wakiongozwa
na Mkuu wa Upelelezi Kinondoni,
Mrakibu wa Polisi (SP) Richard
Mwaisamba ilifika eneo la tukio na
kukuta mlango wa nje ukiwa
haujafungwa.
Alidai timu hiyo ilikuta mlango wa
chumbani ukiwa umevunjwa kwa
kutumia tofali na kwamba chini
ya mlango kulikuwa na vumbi la
matofali. Ndani ya chumba cha
Aneth, Wakili Nguka alidai kuwa
wapelelezi hao walikuta mwili wa
Aneth ukiwa umekatwa koromeo
ukiwa sakafuni, huku ukiwa uchi
wa mnyama na mdomoni alikuwa
amewekewa kitambaa.
Alidai pembeni mwa mwili wa
Aneth, wapelelezi hao walikuta
nguo ya ndani yenye rangi ya
zambarau, kisu chenye damu na
filimbi iliyokuwa karibu na
kitanda. Kwenye kabati lililokutwa
wazi walikuta hereni, cheni za
dhahabu na simu.
Mshitakiwa adaiwa kukiri
Wakili Mwita alidai kuwa
wakaguzi wa Polisi, Latifa
Mohamed, ASP Jumanne
Malangehe na Koplo Mwaka
walienda Arusha kwa ajili ya
kufanya mahojiano na upekuzi
nyumbani kwa mshitakiwa
Miriam.
Alidai Agosti 7, 2016 akihojiwa na
wakaguzi hao, mshitakiwa huyo
alikiri kuhusika kupanga mpango
wa mauaji na aliwaelekeza
maeneo walikokuwa wanapangia
mpango huo. Alidai mbali na
kukiri kosa hilo mbele ya askari
hao ambao waliandika maelezo
yake, pia mshitakiwa alikiri
kutenda kosa hilo mbele ya Mlinzi
wa Amani (Hakimu wa Mahakama
ya Mwanzo). Alidai wakaguzi hao
wa polisi walirudi Dar es Salaam
na Miriam, wakiongozana na
wachunguzi wa picha za kawaida
na za video kutoka makao makuu
ya polisi na Miriam aliwapeleka
sehemu ambayo walikuwa
wanakutana na Getrude kwa ajili
ya kufanikisha mauaji hayo.
Wakili Mwita alidai katika
maelezo hayo ambayo
mshitakiwa wa kwanza aliyatoa
kwa askari na mbele ya Mlinzi wa
Amani, alieleza kuwa aliamua
kutenda kosa hilo kutokana na
mgogoro wa mali za mumewe
yaani Bilionea Msuya.
Pia, walidai kuwa mshtakiwa
huyo aliamua kutenda kosa hilo
kwa hasira kutokana na Aneth
kumtumia picha za kukashfu
umbile lake. Wakili Mwita alidai
mshitakiwa alieleza kuwa Aneth
alikuwa akimtumia picha za
wanawake wenye maumbile
makubwa mabaya, wenye
matumbo makubwa, jambo
ambalo lilimfanya apate hasira.
Alidai kwa mujibu wa maelezo
yake, mshitakiwa Miriam baada ya
kuchukizwa na kitendo cha wifi
yake kumtumia picha hizo
alizoziona kama za kumkashfu,
aliamua kutafuta ushauri kwa
mshitakiwa wa pili Muyella,
ambaye alimshauri kuwa huyo
dawa yake ni kumuua tu.
Wakili Mwita alidai baada ya
ushauri huo wa mshitakiwa wa
pili walikubaliana mshtakiwa wa
kwanza amlipe mshitakiwa wa
pili Sh20 milioni kwa ajili ya kazi
hiyo.
Alidai washitakiwa hao baada ya
makubaliano hayo ndipo
walipopanga na kutekeleza
mauaji hayo, na kwamba
mshtakiwa wa kwanza alimlipa
mshtakiwa wa pili Sh10 milioni
kwanza wakiwa jijini Dar es
Salaam na baada ya kutekeleza
mauaji hayo, alimmalizia Sh10
milioni jijini Arusha.
Soma zaidi: Jalada la Mke wa
Bilionea Msuya latua kwa DPP
Wakili Mwita aliieleza mahakama
kuwa mshitakiwa wa pili baada
ya kukamatwa na kuhojiwa
alikubali kumfahamu mshitakiwa
wa kwanza kuwa ni
mfanyabiashara mwenzake na
alikuwa akifahamiana na
marehemu mumewe, lakini
alikana kuhusika na mauaji hayo.
Soma zaidi: Upelelezi kesi ya mke
wa Bilionea Msuya wakamilika
Licha ya kukana kuhusika katika
mauaji hayo, Wakili Mwita
aliieleza mahakama kuwa
mshitakiwa huyo alitambuliwa na
shahidi mmoja (ambaye ni shahidi
muhimu kwenye kesi hiyo)
kwenye gwaride la utambuzi. Kwa
upande wake Wakili Nguka alidai
Agosti 4, 2016 timu ya upelelezi
kutoka Dar es Salama ilisafiri hadi
Arusha kwa ajili ya kumkamata
Miriam na walimkamata.
Wakili Nguka alidai Miriam
alikamatwa akiwa katika klabu ya
Tembo iliyopo Arusha kisha askari
hao waliongozana na mshitakiwa
huyo hadi nyumbani kwa
mshtakiwa na kuanza upekuzi.
Alidai katika upekuzi huo ulioanza
saa saba mchana hadi saa 10 jioni,
timu hiyo ya upekuzi ilichukua
suti mbili ikiwemo ya rangi ya
bluu na nyekundu, cheni za
dhahabu na viatu jozi mbili.
Alidai Miriam alikiri kuhusika
katika mauaji ya wifi yake
kutokana na mgogoro wa
kifamilia. Hata hivyo, kwa mujibu
wa maelezo ya mashahidi hao,
Miriam alipendekezwa na familia
ya mumewe, Bilionea Msuya, na
akateuliwa na mahakama kuwa
msimamizi wa mirathi ya
mumewe. Baadaye mshitakiwa
huyo alilalamikiwa na ndugu wa
marehemu kwa ufujaji wa mali na
kwamba kutokana na kushindwa
kuwasilisha mahakamani
mrejesho wa usimamizi na
mgawanyo wa mali hizo,
mahakama iliamua kumuondoa
katika usimamizi wa mirathi hiyo.
Kutokana na hali hiyo, mshtakiwa
huyo aliomba ushauri wa
mfanyabaishara aitwaye Muyella
kuhusiana na mgogoro huo na
kumueleza kuwa Aneth amekuwa
akimuingilia katika mirathi na
mali alizoachiwa na mume wake.
Kwa mujibu wa maelezo ya
mashahidi hao, baada ya
mahakama kumuondoa katika
usimamizi wa mirathi, kikao cha
familia kilimpendekeza dada
mwingine wa marehemu Msuya
pamoja na baba wa marehemu
kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo
lakini mshtakiwa Miriam aliweka
pingamizi.
1571943479137.png
 
Kihusu hayo mauwaji ya wifie ilikuwaje
Mimi nakumbuka geah habib alienda huko kigamboni sijui kama sikosei ndoa alikokua akiishi Anet ndo kuwahoji majirani wanasema mtoto aliamka asubui alijikuta sebleni akiwa amelala hapo ni kama walimuwekea dawa za usingizi kwa hyo anaamka ili aende shule anenda kwa mama ake anagonga mlango haufunguki wala mama haitikii kumbuka hapo mdada wa kazi kaondoka tuu siku moja nyuma so wapo wawili. Ndo mtt kuangalia chini ya mlango anaona damu zilizoganda kutokea ndani zimetiririka ndo akafungua geti kwenda kuwaita majirani. Ndo polis kuja na kumtoa mama ake akiwa amechinjwa. So dogo picha ipo kichwani kwake.
 
Maelezo ya mashahidi
Baada ya kumaliza kutaja idadi na
majina ya mashahidi pamoja na
vielelezo, mawakili hao wa
upande wa mashitaka walianza
kuwasomea washtakiwa maelezo
ya mashahidi wote
wanaotarajiwa kutoa ushahidi
katika kesi hiyo.
Mawakili hao waliwasomea
washtakiwa maelezo ya
mashahidi hatua kwa hatua, kwa
kupokezana kila baada ya kusoma
maelezo ya mashahidi kadhaa,
kazi ambayo ilitumia takribani saa
tano, kuanzia saa 5.15 asubuhi
mpaka saa 9.55 alasiri, Alhamisi
iliyopita
Pamoja na mambo mengine
yaliyomo katika maelezo ya
mashahidi hao, mawakili hao
walidai mshitakiwa wa kwanza,
Miriam alikiri kuhusika katika
mauaji hayo na kueleza sababu na
mpango wa namna
walivyotekeleza mauaji
Mipango ya mauaji
Wakili Mwita alidai washtakiwa
katika kutekeleza mauaji hayo
walimtafuta mfanyakazi wa ndani
wa Aneth.
Alidai Mei 5, 2016 , Miriam na
mwenzake walienda Kibada
alikokuwa akiishi Aneth na
kwamba kabla ya kufika katika
nyumba ya Aneth, alikutana na
mfanyakazi huyo wa ndani wa
Aneth, aitwaye Getrude Mafuru
ambaye alikuwa anaenda dukani
kununua karatasi za chooni (toilet
paper).
Wakili Mwita alidai mshtakiwa
Miriam alishusha kioo cha gari la
kifahari lenye rangi ya bluu
alimokuwamo na kumuita
Getrude ambaye aliitikia wito na
akamuuliza mahali Aneth
alikokuwa akiishi. Alidai kuwa
Getrude alimueleza kuwa Aneth
anakaa nyumba iliyokuwa
inafuata, kutoka walikokuwa
wamesimama na kisha Miriam
alimuahidi msichana huyo kuwa
angepita kesho, kisha alipandisha
kioo cha gari yake na kuondoka.
Siku iliyofuata, Wakili Mwita alidai
Miriam alienda tena hadi karibu
na nyumba aliyokuwa akiishi
Aneth, ambapo alimuona Getrude
akichota maji nyumba ya jirani na
akamuita na msichana huyo
alipomfikia, Miriam alimtaka
apande katika gari hilo. Kwa
mujibu wa maelezo hayo, Wakili
Mwita alidai msichana huyo
aliingia ndani ya gari hilo na
Miriam akampatia simu ndogo
yenye rangi nyeusi.
Mwita alidai kuwa wakati Getrude
anapewa simu na Miriam,
mshitakiwa wa pili yeye alikuwa
amekaa nyuma huku akiwa
amemuwekea Getrude bastola
begani na kwamba Miriam
alimwambia msichana huyo
asimwangalie Muyella bali
amwangalie yeye.
Wakili Mwita alidai Miriam
alimweleza Getrude kuwa simu
hiyo ni ya mawasiliano baina yao
wawili huku akimweleza sio kwa
ajili ya kumpigia mtu mwingine
yeyote.
Alidai Getrude ambaye alikuwa
analipwa mshahara wa Sh 60,000
alieleza kuwa sura ya Miriam
alishawahi kuiona Moshi, kwa bibi
yake yaani kwa mama yake
marehemu Aneth, alikokuwa
kabla ya kwenda kwa Aneth, na
kwamba Miriam alikwenda
nyumbani hapo na mumewe
Erasto Msuya enzi za uhai wake.
Wakili Mwita aliendelea kudai
kuwa Mei 23, 2016 saa tisa
mchana, Miriam alimpigia Getrude
na kumwambia anataka kuonana
naye, huku akimwelekeza mahali
alikokuwa.
Alidai kuwa Getrude alikwenda
hadi mahali lilipokuwa
limeegeshwa gari la washitakiwa
hao, karibu na nyumba ya Aneth
na kisha binti huyo aliingia katika
gari hilo.
Wakili Mwita alidai Getrude akiwa
ndani ya gari hilo aliiona pochi ya
Miriam ikiwa imejaa hela zikiwa
zimefungwa na mpira
mwembamba, na Miriam akampa
Sh 20,000.
Alidai baada ya kumpa fedha hizo,
Miriam alimsisitiza Getrude
aondoke nyumbani kwa Aneth
kabla ya Mei 25, 2016 na kwamba
simu hiyo aliyompa aitupe
sehemu ambayo mtu mwingine
hawezi kuiona.
Wakili Mwita alidai Mei 25, 2016
Getrude aliondoka nyumbani kwa
Aneth na ufunguo wa geti
aliupeleka kwa jirani yao, kisha
akampigia simu Aneth kuwa
ufunguo wa ndani upo chini ya
kapeti la kufutia vumbi lililopo
mlangoni na kwamba ufunguo wa
getini upo kwa jirani yao.
Alidai Getrude aliondoka na
kwenda Chanika kwa mchumba
wake aitwaye Sabri Kombo, na
kwamba wakati akiwa kwenye
pantoni, aliitupa simu hiyo
baharini na alipofika kwa mpenzi
wake alimwelezea mambo
aliyoambiwa na Miriam. Akiwa
Chanika, Wakili Mwita alidai kuwa
Getrude alipigiwa simu na bibi
yake, yaani mama wa Aneth na
kumweleza kuwa Aneth ameuawa
kwa kukatwa koromeo.
Kwa upande wake Wakili Nguka
alidai baada ya tukio, hilo timu ya
askari wa upelelezi wakiongozwa
na Mkuu wa Upelelezi Kinondoni,
Mrakibu wa Polisi (SP) Richard
Mwaisamba ilifika eneo la tukio na
kukuta mlango wa nje ukiwa
haujafungwa.
Alidai timu hiyo ilikuta mlango wa
chumbani ukiwa umevunjwa kwa
kutumia tofali na kwamba chini
ya mlango kulikuwa na vumbi la
matofali. Ndani ya chumba cha
Aneth, Wakili Nguka alidai kuwa
wapelelezi hao walikuta mwili wa
Aneth ukiwa umekatwa koromeo
ukiwa sakafuni, huku ukiwa uchi
wa mnyama na mdomoni alikuwa
amewekewa kitambaa.
Alidai pembeni mwa mwili wa
Aneth, wapelelezi hao walikuta
nguo ya ndani yenye rangi ya
zambarau, kisu chenye damu na
filimbi iliyokuwa karibu na
kitanda. Kwenye kabati lililokutwa
wazi walikuta hereni, cheni za
dhahabu na simu.
Mshitakiwa adaiwa kukiri
Wakili Mwita alidai kuwa
wakaguzi wa Polisi, Latifa
Mohamed, ASP Jumanne
Malangehe na Koplo Mwaka
walienda Arusha kwa ajili ya
kufanya mahojiano na upekuzi
nyumbani kwa mshitakiwa
Miriam.
Alidai Agosti 7, 2016 akihojiwa na
wakaguzi hao, mshitakiwa huyo
alikiri kuhusika kupanga mpango
wa mauaji na aliwaelekeza
maeneo walikokuwa wanapangia
mpango huo. Alidai mbali na
kukiri kosa hilo mbele ya askari
hao ambao waliandika maelezo
yake, pia mshitakiwa alikiri
kutenda kosa hilo mbele ya Mlinzi
wa Amani (Hakimu wa Mahakama
ya Mwanzo). Alidai wakaguzi hao
wa polisi walirudi Dar es Salaam
na Miriam, wakiongozana na
wachunguzi wa picha za kawaida
na za video kutoka makao makuu
ya polisi na Miriam aliwapeleka
sehemu ambayo walikuwa
wanakutana na Getrude kwa ajili
ya kufanikisha mauaji hayo.
Wakili Mwita alidai katika
maelezo hayo ambayo
mshitakiwa wa kwanza aliyatoa
kwa askari na mbele ya Mlinzi wa
Amani, alieleza kuwa aliamua
kutenda kosa hilo kutokana na
mgogoro wa mali za mumewe
yaani Bilionea Msuya.
Pia, walidai kuwa mshtakiwa
huyo aliamua kutenda kosa hilo
kwa hasira kutokana na Aneth
kumtumia picha za kukashfu
umbile lake. Wakili Mwita alidai
mshitakiwa alieleza kuwa Aneth
alikuwa akimtumia picha za
wanawake wenye maumbile
makubwa mabaya, wenye
matumbo makubwa, jambo
ambalo lilimfanya apate hasira.
Alidai kwa mujibu wa maelezo
yake, mshitakiwa Miriam baada ya
kuchukizwa na kitendo cha wifi
yake kumtumia picha hizo
alizoziona kama za kumkashfu,
aliamua kutafuta ushauri kwa
mshitakiwa wa pili Muyella,
ambaye alimshauri kuwa huyo
dawa yake ni kumuua tu.
Wakili Mwita alidai baada ya
ushauri huo wa mshitakiwa wa
pili walikubaliana mshtakiwa wa
kwanza amlipe mshitakiwa wa
pili Sh20 milioni kwa ajili ya kazi
hiyo.
Alidai washitakiwa hao baada ya
makubaliano hayo ndipo
walipopanga na kutekeleza
mauaji hayo, na kwamba
mshtakiwa wa kwanza alimlipa
mshtakiwa wa pili Sh10 milioni
kwanza wakiwa jijini Dar es
Salaam na baada ya kutekeleza
mauaji hayo, alimmalizia Sh10
milioni jijini Arusha.
Soma zaidi: Jalada la Mke wa
Bilionea Msuya latua kwa DPP
Wakili Mwita aliieleza mahakama
kuwa mshitakiwa wa pili baada
ya kukamatwa na kuhojiwa
alikubali kumfahamu mshitakiwa
wa kwanza kuwa ni
mfanyabiashara mwenzake na
alikuwa akifahamiana na
marehemu mumewe, lakini
alikana kuhusika na mauaji hayo.
Soma zaidi: Upelelezi kesi ya mke
wa Bilionea Msuya wakamilika
Licha ya kukana kuhusika katika
mauaji hayo, Wakili Mwita
aliieleza mahakama kuwa
mshitakiwa huyo alitambuliwa na
shahidi mmoja (ambaye ni shahidi
muhimu kwenye kesi hiyo)
kwenye gwaride la utambuzi. Kwa
upande wake Wakili Nguka alidai
Agosti 4, 2016 timu ya upelelezi
kutoka Dar es Salama ilisafiri hadi
Arusha kwa ajili ya kumkamata
Miriam na walimkamata.
Wakili Nguka alidai Miriam
alikamatwa akiwa katika klabu ya
Tembo iliyopo Arusha kisha askari
hao waliongozana na mshitakiwa
huyo hadi nyumbani kwa
mshtakiwa na kuanza upekuzi.
Alidai katika upekuzi huo ulioanza
saa saba mchana hadi saa 10 jioni,
timu hiyo ya upekuzi ilichukua
suti mbili ikiwemo ya rangi ya
bluu na nyekundu, cheni za
dhahabu na viatu jozi mbili.
Alidai Miriam alikiri kuhusika
katika mauaji ya wifi yake
kutokana na mgogoro wa
kifamilia. Hata hivyo, kwa mujibu
wa maelezo ya mashahidi hao,
Miriam alipendekezwa na familia
ya mumewe, Bilionea Msuya, na
akateuliwa na mahakama kuwa
msimamizi wa mirathi ya
mumewe. Baadaye mshitakiwa
huyo alilalamikiwa na ndugu wa
marehemu kwa ufujaji wa mali na
kwamba kutokana na kushindwa
kuwasilisha mahakamani
mrejesho wa usimamizi na
mgawanyo wa mali hizo,
mahakama iliamua kumuondoa
katika usimamizi wa mirathi hiyo.
Kutokana na hali hiyo, mshtakiwa
huyo aliomba ushauri wa
mfanyabaishara aitwaye Muyella
kuhusiana na mgogoro huo na
kumueleza kuwa Aneth amekuwa
akimuingilia katika mirathi na
mali alizoachiwa na mume wake.
Kwa mujibu wa maelezo ya
mashahidi hao, baada ya
mahakama kumuondoa katika
usimamizi wa mirathi, kikao cha
familia kilimpendekeza dada
mwingine wa marehemu Msuya
pamoja na baba wa marehemu
kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo
lakini mshtakiwa Miriam aliweka
pingamizi.
View attachment 1243634
Mbona sura haina uoga hii
 
Back
Top Bottom