Una uhakika Chusa hakuhusika, chanzo unakifahamu kweli?
km Chusa alikuwa Magereza na Hospital ni kwa muda gani hakufika eneo la tukio na unasema Miriam Mrita amehusika kupanga na yupo Direct pasina shaka kuwa muuaji (mbona chusa alikuwa wodini)
Bado Kesi iliyobaki ni kizungumkuti na nasema km sio pesa km kipindi kile cha dci basi tusubirie ushahidi tosha
QUOTE= post: 7133238, member: 80151"
Mauaji yalipangwa hospital ya mrara babati alipokuwa chusa amelazwa kwa kisingizio cha mgonjwa kwepa kukaa magereza.chusa alikuwa na kesi ya mauaji ya mchimbaji wa tanzanite one ambaye alikuwa ni rafiki wa eresto msuya,njama hizo zilipangwa na sharifu,chusa na kaburu walikuwa wakiongea kwa sauti bila kificho,alisikika kaburu akisema akitushinda tumwagie tindikali.Kaburu ndio aliyekuwa anamshughulikia chusa katika kesi hiyo ya mauaji na amefanikiwa kumtoa ndani wiki 3 kwa kutumia mgongo wa manumba na dci /QUOTE