Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

Hizo degree zenyewe za walimu si potential sana siku hizi, wabaki nazo kwenye vyeti vyao. Utawapeleka wapi ikiwa hata msingi zipo? Wasome tu kwa faida yao ila hazina msaada kwa sasa hali ya elimu imebadilika
 
Ndy utofauti ni mdogo mno maan wote wanafuat pedagogy za kufundisha na wote vyuo vimewafundisha namna ya ufundishaji wa masomo uhisika.
 
Back
Top Bottom