Maonesho ya sabasaba yamefikia tamati jana rareh 13 July kuashiria kilele cha kumalizika kwa shughuli hizo.
Ukiachana na pilikapilika za sabasaba mwaka huu kuna jambo hilo limekua desturi kama utamdani ambao kama sio unakua basi unaendelea kushamiri miongoni mwa wafanyabiashara mbalimbali katika kuvutia wateja.
Moja ya jambo hilo ni kuwatumia wanawake kama viburudisho vya kuwavutia wateja....! Nimejaribu kupita mabanda kadhaa nimeona wakiweka mziki na wanawake wakiwa na mavazi ambayo yakionesha maungo yao...na hili sio tu sabasaba hata biashara nyingine nje ya sabasaba...pamoja na ukosefu wa ajira kwa vijana je, kama watanzania hatuoni kwamba tunautweza utu wa mwanamke kuonekana kama chombo cha burudani katika kuvutia wateja?