Madihani
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 6,154
- 7,083
Naamini kuna uzima kwa wana jamii.
Je ni sahihi wazazi wa binti/mwanamke kudai kuwa mwanaume aliempa mimba aende kujitambulisha hata kama hana mpango wa kuoa?
Au ni mbinu ya kulazimisha binti aolewe? Wao wanadai wanataka kumtambua/kumfahamu.
Habari hii imemkuta rafiki yangu wa karibu.