Ni vibaya kumpa mimba mdada halafu azalie nyumbani na hatma ya malezi ya mtoto isijulikane,siyo fair kabisa,nadhani kuonyesha unfairness kwa ulichofanya,kaka zake au ndugu zake wa kiume,bilashaka hawajapenda na ndiyomaana hata hawajakupigia simu kuitwa tu hata shemeji.Ni fedheha sana miaka hii ambayo njia za uzazi wa mpango in nyingi na zinafundishwa waziwazi,unampa mdada mimba bila mpangilio.Umefanya kitendo kibaya sana,na umewachanganya sana familia hiyo uliyoipatia mzigo wa bila kutarajia.Mdada upiyempa mimba kama hana kazi rasmi,uwezekano mkubwa wa yeye kua mdangaji ni Mkubwa sana.Pole kwa mdada ambaye anaanza safari ya u-single mother,safari ambayo imejaa kudharaulika na kuchukuliwa kua ni ya wadada au wamama wasiokua na maadili na malezi mazuri.Umesema no rafiki yako wa karibu,lakini najua hii itakua yako.Kila la kheri.