mara nyingi utawasikia watu wakisema"nimezaliwa sehemu fulani"
Kwa nini wasiseme"nimezawa sehemu fulani?"
Kwa maana:
Zaa-mzizi
Zawa-tendwa
Zaliwa-tendewa
Hivyo kusema zaliwa,ina maana kuwa mtu kazaa kwa niaba yako
Na ukisema zawa hii ina maana kuwa wewe ndio uliyetendwa
Sijui mnasemaje wataalamu wa kiswahili kwa jambo hili?