Je, ni salama kiasi gani kumsomesha mtoto shule za english medium?

Je, ni salama kiasi gani kumsomesha mtoto shule za english medium?

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,728
Reaction score
49,762
Kesi nyingi za ubakaji Tanzania zinawekwa kapuni na polisi. Kama zingetangazwa zote wananchi mngeogopa. English medium schools na madrassa ya Elimu akhera kuna mambo ya hovyo sana.
Je, nini kifanyike kudhibiti haya?
 
Kesi nyingi za ubakaji Tanzania zinawekwa kapuni na polisi. Kama zingetangazwa zote wananchi mngeogopa. English medium schools na madrassa ya Elimu akhera kuna mambo ya hovyo sana.
Peleka mtoto wako huko for your own risk.
Kayumba ndio kubaya zaidi, huko ulawiti umetamalaki kama vile kikosi kazi cha serikali ya CCM.
 
Wakagueni watoto wenu bila kujalisha wanasoma wapi, dunia imeharibika, yaani mtoto akitoka tu akirudi jioni mkague na jitahidi kumuuliza masuali kujua nani anamshika nyeti zake awe wakike au wakiume, kama una mtoto usipokua makini utashtuka mwanao kashaharibika halafu uanze kulaumu Serikali.

Narudia kwa msisitizo tukague watoto wetu, dunia imeharibika.
 
Back
Top Bottom