Wakagueni watoto wenu bila kujalisha wanasoma wapi, dunia imeharibika, yaani mtoto akitoka tu akirudi jioni mkague na jitahidi kumuuliza masuali kujua nani anamshika nyeti zake awe wakike au wakiume, kama una mtoto usipokua makini utashtuka mwanao kashaharibika halafu uanze kulaumu Serikali.
Narudia kwa msisitizo tukague watoto wetu, dunia imeharibika.