Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia