Sasa si ufate utaratibu ulioambiwa,unakuja tena kuuliza huku😁Habari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia
Nimewasiliana nao wamenambia niende nilipochukulia cheti sasa gharama za nauli ni kubwa kuliko kuchukua cheti kipya ndo maana nauliza hvoNadhani zipo taratibu za kurekebisha makosa kama majina, tarehe na mengineyo. Fanya juhudi kuwasiliana au kufika ofisi za Rita kupata muongozo wa ni kipi cha kufanya.
Kuhusu kuomba cheti kipya sifahamu vizuri, au waulize wao wenyewe kama inawezekana au La.Nimewasiliana nao wamenambia niende nilipochukulia cheti sasa gharama za nauli ni kubwa kuliko kuchukua cheti kipya ndo maana nauliza hvo
Tumia kiapoHabari Wana JF cheti changu Cha kuzaliwa kimekosewa spelling tu kwenye jina la baba na ukoo sasa nauliza ni sawa nikiagiza cheti kipya au ni mpaka nifate taratibu za kubadili? Maana Niko mbali na nilipochukulia cheti na taratibu zinasema niende nilipochukulia