Je, ni sawa kuendeleza utamaduni wa baba kupewa mapaja na firigisi ya kuku?

Je, ni sawa kuendeleza utamaduni wa baba kupewa mapaja na firigisi ya kuku?

Acha mshua aendelee kula mapaja na firigisi kwani ndiye anayehustle kuvileta hapo hom.Lakini pia hiyo ni ishara ya mamlaka hapo hom.
 
Ukute mapaja laini halafu meupee,......na firigisi imenona tamu hiyo[emoji39] watoto muacheni baba ajilie vyake
 
Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka.

Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
Huo ubishani sio wa kujadiliwa hapa na kadamnasi, huo utamaduni unatokana na utashi wa wanawake mama wenye nyumba, kutokana na mapenzi yao. Mama ndio huwa wanaamua nani ale nini
Sisi kina nani hata tuanze kujadili maamuzi ya mama zetu
 
Ni kaushamba flani hivi kanatusumbua.

Watoto nao wanapaswa kula vinono zaidi na sio wazazi kujilimbikizia vile vizuri na kuwaachia watoto whatever is left.
 
Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka.

Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.

Umeanza kumuonea baba yako wivu. Usisahau wewe hata uwe mkubwa vipi bado ni shahawa za huyo mzee. Utakapopata mji wako utakula paja na firigisi.

Kwa sasa, pambana na miguu, shingo na mbawa za kuku zinakutosha.
 
Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka.

Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
Hee sasa ukinikuta na shemej yako tunavyogombea bichwa la samak sangara..acha tu..huwa ni vita

Tena liwe kiporo halaf limeungwa na nazi
 
Kuwa mwanaume bwana raha sana asikwambie mtu. Hebu fikiria ukila ugali na familia yako unapewa mapaja ule, na hapo hapo bado chumbani unapewa mengine na mama watoto ushike shike au upapase kwa raha zako.
 
Acheni tuwajali waume zetu, ukiona unabanwa na wewe nenda kaoe upewe mapaja na firigisi.
 
Naona huu utamaduni umekaa kimfumo dume na kuvuka mipaka.

Sometimes hata watoto nao wale hayo mapaja.
Ndio nyama ya maana iliobeba protini nyingi inayokupa nguvu ya kumfanya vibaya shemeji yetu, unafikiri watu wa zamani hawakuwa na akili?

Kula vipapatio wakudinyie mkeo.
 
Back
Top Bottom