Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,117
Reaction score
1,403
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga.

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara.

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically.

Binafsi naona kama ni bado sana.

Naombeni ushauri kwenye hili.
 
Mwanamke hapewi chochote🀣zaidi anapewa gear knob haijalishi iwe Gia 2, 5,6, 8 we mpe Gia knob usisahau kukanyaga mafuta usipge break Ata kwny matuta ongeza mwendo (tafsida)
 
Msiendekeze sana baraka,mwenzio nyapu anapata mahala anapopapenda....unajua raha ya kusex na mtu umpendae?

Maisha ni sex pia.... tukubali tukatae.Mshauri ajikune anapopaweza au aoe kabisa
Mkuu Kama mwanamke hajaolewa awe mpole katika pesa za watu
Hyo 60k apewe amefanya nni mpaka kila mwezi apewe mwambie atafute ajira asigeze wanaume ndo vitega uchumi nyuchi zimeshuka thamani kufikia level hyo ya kupangia kimada kila mwezi ukipe pesa (mshahara)


Wanawake NI Kama mavi ya ngo'mbe ukiyaona njiani yamekauka tia mguu ndo utajua hakuna rangi utaacha kuona
 
Kama mavi ya ng'ombe? Are you serious?😭
 
Mwamba una hasira sana aiseeee
 
Msiendekeze sana baraka,mwenzio nyapu anapata mahala anapopapenda....unajua raha ya kusex na mtu umpendae?

Maisha ni sex pia.... tukubali tukatae.Mshauri ajikune anapopaweza au aoe kabisa
Ngoja nikurudie tena


Mie nashangaa huwa mnajizima data Etii Raha anazopata kiuhalisia kwenye tendo la ndoa mwanaume anapoteza mwanamke ndo ana gain hizo Raha NI yeye ndo anaye pata tena kwa nguvu kubwa anayoitumia mwanaume kumpa raha bado utoe pesa umpe mungu usinijaalie ujinga huuu


Kusikia kwa kenge mpaka atoke damu machoni na masikioni
 
Siye ndo tunapata raha? Are you sure?
 

Madrid Jana umenichania mkeka wangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…