Mtukutu Mkuu
JF-Expert Member
- Jul 10, 2022
- 1,117
- 1,403
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga.
Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara.
Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically.
Binafsi naona kama ni bado sana.
Naombeni ushauri kwenye hili.