INJECTION TECHNICIAN
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 356
- 794
Mkuu wanawake wasikie kwa jirani au waone tu nje ukiwaleta ndani kwako umekaribisha jini linaloila nafsi yako taratibuMwamba una hasira sana aiseeee
ππ Hilo nalo unataka turudishane shule mkuuSiye ndo tunapata raha? Are you sure?
Mkuu Hatari sana hyo...Mkuu wanawake wasikie kwa jirani au waone tu nje ukiwaleta ndani kwako umekaribisha jini linaloila nafsi yako taratibu
π₯π€ππ Hilo nalo unataka turudishane shule mkuu
Umependa timiza wajibu mapenzi ni gharama siyo yale ya zamani. Kumhudumia ni wajibu wako kwakuwa imempenda na kakupenda.Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga
Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .
Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically
Binafsi naona kama ni bado sana
Naombeni ushauri kwenye hili
MamboNi sawa,
Mbona hivo..ππππΆPowa , ulipima Ukimwi?
Katoto kako tumboni akajamboPowa , ulipima Ukimwi?
Chukua logic hiiu utapatajibu mkuuπ₯π€
Nipo k,koo now.Hakajambo kanataka matikiti ya kuchemsha unakalete saa ngapi?
Sahivi uko wapi....Mbona ubabe mwingi..
πππ
Nipo k,koo ila badae takua mbagalaSahivi uko wapi....
Nakupenda sana ww na katt hako...Sawa sawaπ
Wee jamaa chizi sana ππππHiyo mbana Hela ndogo sana, jiandae kuchapiwa. Sasa akitaka simu ya laki 8 kwenda juu utanunua baada ya muda Gani.
Kumbuka kama unavyopenda kufungua kufuri, hiyo ni bei ya kufuri mbili tu za kawaida.
Oyaa wamekufanyaje hawa viumbe hii hasira ni promaxChukua logic hiiu utapatajibu mkuu
Kwanini KE ndo unayegewa kipaumbele Cha kufikishwa kuliko ME
Ingekuwa ME ndo anayetakiwa apate Raha akikojoa tu keshapata raha Haina haha ya kuendelea Cha pili Wala Cha tatu
WANAWAKE NI KAMA MAVI YA NG'OMBE UKILIONA NJE LIMEKAUKA TIA MGUU NDO UTAJUA HAKUNA RANGI UTAACHA KUIONA
Mkuu hivi viumbe sio vya kuvionea huruma akiipata nafasi akikubananisha hakuna utakachoongea ukasikilizwa binafsi nimeamua niishi nao kwa kanuni zangu Mimi Kama hawezi mlango uko wazi Wana mambo ya ajabu sanaOyaa wamekufanyaje hawa viumbe hii hasira ni promax