Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara .

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically

Binafsi naona kama ni bado sana

Naombeni ushauri kwenye hili
Umependa timiza wajibu mapenzi ni gharama siyo yale ya zamani. Kumhudumia ni wajibu wako kwakuwa imempenda na kakupenda.
 
Chukua logic hiiu utapatajibu mkuu

Kwanini KE ndo unayegewa kipaumbele Cha kufikishwa kuliko ME

Ingekuwa ME ndo anayetakiwa apate Raha akikojoa tu keshapata raha Haina haha ya kuendelea Cha pili Wala Cha tatu

WANAWAKE NI KAMA MAVI YA NG'OMBE UKILIONA NJE LIMEKAUKA TIA MGUU NDO UTAJUA HAKUNA RANGI UTAACHA KUIONA
 
Oyaa wamekufanyaje hawa viumbe hii hasira ni promax
 
Back
Top Bottom