Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Hyo hela ni ndogo sana kwa manzi unae mpenda, lkn hatakiwi kuku amrisha au kuku bill hivo as if kama hutampa ndo mahusiano yanaishia hapo.

Hapo ningekua mm, simpi nione atafanya nn, then nita react kutokana na reaction yake.

Nakasirika sana manzi kuni bill hivi, Namchukulia kama mjasiriapenzi tu.

Kuna namna mwanamke ukiishi na mwanaume utafaidi mema yake, sio pesa tu kuanzia kukujali, kuku hudumia, kukulinda na kukuthamini kama mtu wake wa karibu
Tatizo wanawake wanadanganyika kirahisi na maisha wanayoyaona kwenye mitandao na tamthilia hawajui kama wale wote ni wasanii.

Halafu kuna upumbavu mwingine wameuweka akilini kwamba wanatakiwa kulipwa wakiwa kwenye mahusiano, sasa hapo ukijifanya unamwaga hela utapukutishwa kila kitu.
 
Hyo hela ni ndogo sana kwa manzi unae mpenda, lkn hatakiwi kuku amrisha au kuku bill hivo as if kama hutampa ndo mahusiano yanaishia hapo.

Hapo ningekua mm, simpi nione atafanya nn, then nita react kutokana na reaction yake.

Nakasirika sana manzi kuni bill hivi, Namchukulia kama mjasiriapenzi tu.

Kuna namna mwanamke ukiishi na mwanaume utafaidi mema yake, sio pesa tu kuanzia kukujali, kuku hudumia, kukulinda na kukuthamini kama mtu wake wa karibu
Respect braza nafata huu ushauri maana dizain flan anajaribu kuingia kwenye salary system yangu.
 
Ulitaka girlfriend wa mtoa mada aombe tsh ngapi kwa mwezi? Missy Gf
Kwa kiwango alichoomba maana ake vingine anajimudu
Kwa sababu kusuka tu ni zaidi ya 30k inategemea anasuka nn
Bado airtime na internet, tuseme anatumia kiswaswadu, bills like water, electricity, kodi, skin care na mengineyo

Means huyo dada matumizi yake sio makubwa mtoa Mada alitakiwa ampe Bila hata kuomba
 
Kuna mdada mmoja anaejiuza nlimla 0713, nlivoingiza tu dushe kwenye 0713 yake alikuwa anapiga ukelele wa raha, wakati siku ingine kabla ya hapo nlivomla papuchi alikuwa hapigi kelele, nimegundua baadhi ya wadada waliozoea kuliwa 0713, wanasikia raha wakiliwa 0713 kuliko wakiliwa papuchi

Nyie wadada swala la kupata raha au kutopata raha kwenye sex, ni jukumu lenu To yeye Mzee wa kupambania Kelsea
Mdada akishazoea hizi mambo za kwa mpalange usipomla bado hajainjoi
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga.

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara.

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically.

Binafsi naona kama ni bado sana.

Naombeni ushauri kwenye hili.
Kuhudumia mchumba kwa gharama kubwa kabla ya harusi(ndoa) ni sawa na kusomesha mwanafunzi.

Namaanisha hivii, gharama za kumtunza na kumsomesha mtoto wa kike ni za wazazi wake.

Kama umempenda, hizo laki sita sita endelea kuzitunza kwa ajili ya kumtolea mahari, ni kwa faida yake.

Gharama utakazozitoa nje ya mahari kabla ya ndoa hazihesabiki, hata uchumba ukivunjika, gharama hizo hazirudishwi.

Hata hivyo mchumba wako mbona ni kama mjanja mjanja sana, imekuwaje?

Kama ushamfanya hawara yako na unamlala, ana haki ya kukuomba hela hizo kwa matumizi yake binafsi bila shaka yoyote.

Maana vijana wa siku hizi mna mambo yenu mengi mnayoyajua wenyewe.

Mchumba wako anapataje ujasiri mpaka wa kuwasiliana na wewe kavu kavu bila kupitia kwa mshenga?

Ushamlala wewe, usituumize kichwa bhana, baadaye ukaanza kutung'ong'a huku ukikata mauno kwa huyo hawara yako uliyemgeuza mchumba.
 
20241028_204744.jpg
 
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga.

Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na muhudumia fresh Tu Lakini yeye amepanga Lakini tulipofikia Sasa anadai Kila For month nimtumie 60K Kwa shida zake ndogo ndogo Ishue ni kwamba sijamuoa sijamvisha Pete na pia amepanga ni mfanyanya biashara.

Swali je ni sahihi Kuanza kuingia hizi gharama maana kama nitaanza kulipa 60K Kuna gharama zingine zitakuja automatically.

Binafsi naona kama ni bado sana.

Naombeni ushauri kwenye hili.
Samahani, una umri gani?

Ova
 
Back
Top Bottom