Je, ni sawa kufanya hivi kwenye mahusiano?

Tatizo wanawake wanadanganyika kirahisi na maisha wanayoyaona kwenye mitandao na tamthilia hawajui kama wale wote ni wasanii.

Halafu kuna upumbavu mwingine wameuweka akilini kwamba wanatakiwa kulipwa wakiwa kwenye mahusiano, sasa hapo ukijifanya unamwaga hela utapukutishwa kila kitu.
 
Respect braza nafata huu ushauri maana dizain flan anajaribu kuingia kwenye salary system yangu.
 
Ulitaka girlfriend wa mtoa mada aombe tsh ngapi kwa mwezi? Missy Gf
Kwa kiwango alichoomba maana ake vingine anajimudu
Kwa sababu kusuka tu ni zaidi ya 30k inategemea anasuka nn
Bado airtime na internet, tuseme anatumia kiswaswadu, bills like water, electricity, kodi, skin care na mengineyo

Means huyo dada matumizi yake sio makubwa mtoa Mada alitakiwa ampe Bila hata kuomba
 
Mdada akishazoea hizi mambo za kwa mpalange usipomla bado hajainjoi
 
Kuhudumia mchumba kwa gharama kubwa kabla ya harusi(ndoa) ni sawa na kusomesha mwanafunzi.

Namaanisha hivii, gharama za kumtunza na kumsomesha mtoto wa kike ni za wazazi wake.

Kama umempenda, hizo laki sita sita endelea kuzitunza kwa ajili ya kumtolea mahari, ni kwa faida yake.

Gharama utakazozitoa nje ya mahari kabla ya ndoa hazihesabiki, hata uchumba ukivunjika, gharama hizo hazirudishwi.

Hata hivyo mchumba wako mbona ni kama mjanja mjanja sana, imekuwaje?

Kama ushamfanya hawara yako na unamlala, ana haki ya kukuomba hela hizo kwa matumizi yake binafsi bila shaka yoyote.

Maana vijana wa siku hizi mna mambo yenu mengi mnayoyajua wenyewe.

Mchumba wako anapataje ujasiri mpaka wa kuwasiliana na wewe kavu kavu bila kupitia kwa mshenga?

Ushamlala wewe, usituumize kichwa bhana, baadaye ukaanza kutung'ong'a huku ukikata mauno kwa huyo hawara yako uliyemgeuza mchumba.
 
Samahani, una umri gani?

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…