Je ni sawa kumruhusu mume/mkeo kutolewa out na mtu wa jinsia tofauti?

Its Pancho

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
15,966
Reaction score
26,404
Wanabodi..
Je ni sawa kwa mkeo au mumeo kutolewa out na MTU wa jinsia tofauti?
Yaani mkeo atolewe out na mwanaume ambaye anadai ni rafiki yake...
Na mumeo nae atolewe out na mdada ambae ni rafiki yake.

Kibongo bongo inawezekana hii yaani mkeo kwenda kwenye sherehe usiku unamruhusu/mumeo?
 
Kwa Mimi aende tu maana mahusiano yenyewe ya siku hizi mnaishi kwa kuviziana utazani mmebandika maharage
 
Namruhusu tu..Tena Kama ana hangover azimalizie huko huko kwangu aje akiwa mkavu..😎
 
Wanabodi..
Je ni sawa kwa mkeo au mumeo kutolewa out na MTU wa jinsia tofauti?
Yaani mkeo atolewe out na mwanaume ambaye anadai ni rafiki yake...
Na mumeo nae atolewe out na mdada ambae ni rafiki yake.

Kibongo bongo inawezekana hii yaani mkeo kwenda kwenye sherehe usiku unamruhusu/mumeo?
Uzi wa kitoto sana huu!
Kwani katika suala hili binafsi, ni nini mawazo yako?
 
S kwamba akili yako ndo ya kitoto?
Maana hapa ndo tutajua nani mtoto.

Soma vizuri nimeweka maoni yangu
 
Back
Top Bottom