Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 15,966
- 26,404
Kwanini haiwezekani mkuu?Ili mvumbue nini????
Mkuu kwahiyo huweiz kumruhusu kama unampenda?Mi demu akiona namruhusu vitu vyakijinga jinga kama hivyo,ajue nishampata mwingine ye namtafutia njia tu yakumtema@
Kwahiyo umekubali?Kuchapiwa ni siri ya Ndani
Anakwambia ni alikuwa classmate wake so hakuna kitumhh.hapana.
kibongobongo
out.inazaa.mapenzi
Lakini ukimruhusu huenda hakuna kituHayo mambo ya ki. Bwe. Ge wanaume wa kweli hatuwezi fanya utopolo huo!
Uzi wa kitoto sana huu!Wanabodi..
Je ni sawa kwa mkeo au mumeo kutolewa out na MTU wa jinsia tofauti?
Yaani mkeo atolewe out na mwanaume ambaye anadai ni rafiki yake...
Na mumeo nae atolewe out na mdada ambae ni rafiki yake.
Kibongo bongo inawezekana hii yaani mkeo kwenda kwenye sherehe usiku unamruhusu/mumeo?
S kwamba akili yako ndo ya kitoto?Uzi wa kitoto sana huu!
Kwani katika suala hili binafsi, ni nini mawazo yako?
Mzee wa kuchakata unalinda maliOut nitamtoa mwenyewe ila kama nje ni sawa tu
Hiyo aya ya mwisho aseehKukubali ni kuhararisha agegedwe na wewe utakuwa mwanaume bushoke ... Hakuna urafiki kati ya me na ke
sent from HUAWEI