Je, ni sawa kupiga stori za mapenzi na Shangazi yako?

Ex wangu mmoja yuko umri sawa na shangazi yake na wamefanana kiasi nikawa najua ni mtu na dada yake.

Ex ni mtoto wa ujanani wa mzee na huyu shangazi ni mtoto wa mwisho katika familia ya baba yake. Ex na Shangazi walizaliwa mwaka sawa. Na hata ex na wadogo zake huyu shangazi wamezoea kumuita dada.

Na ilikua inatumika simu ya shangazi kumfukuzia ex, kumpata na miadi. I think hizo stori wamepiga sana na wanaendelea kupiga
 
Kwa mtoto wa kike kupiga stori za undani na shangazi yake haileti ukakasi, shida inakuja kwa mtoto wa kiume na shangazi yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…