Je, ni sawa kuwa na kampuni ndani ya kampuni moja?

Je, ni sawa kuwa na kampuni ndani ya kampuni moja?

kanderema

Member
Joined
Apr 26, 2024
Posts
18
Reaction score
18
Kumekuwepo na tabia ya baadhi ya makampuni kuanzisha makampuni mengine ndani ya Kampuni. Mtu anaajiriwa kwa mwamvuli wa kampuni husika lkn anapopewa mkataba unasoma jina la kampuni nyingine hii imekaaje?
 
Wewe ukienda TRA sanasana unakwenda kulipia driving licence, huwezi kuyajuwa haya.
 
Kama una miaka zaidi ya 23, nakusitikia kujibu swali lako, ndio inawezekana kabisa,
Kampuni mama inakuwa holding company, na hio nyingine ni operation companies, eg SSB ni holding company wa azamMedia. Kwa hio unaweza ajiriwa SSB, lakin ukapostiwa AzamMedia so mkataba utasoma Azam Media,

Btw, hivi huwa mnafuatilia mambo au mnawaza nn an
 
Back
Top Bottom