Je, ni sawa kuweka kitunguu maji, saumu kwenye upishi wa chapati?

jastertz

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
407
Reaction score
768
Jamii mapishi,

Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa.

Je, kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
 
Jamii mapishi,

Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi. nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa.

Je kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
Pole mkuu ila fahamu kuwa kuna baadhi ya viungo vya kupikia na hicho unachokipika haviendani ndio maana matokeo yakawa hivyo
 
Hongera umefikia hatua ya kutambuliwa kama mgunduzi wa chapati pombe, unashiba huku unalewa. Kiufupi ni 2 in 1
 
UPISHI SIO SANAA TU, BALI PIA NI SAYANSI. NDIO MAANA KUNA TAALUMA YA FOOD SCIENCE
 
Jamii mapishi,

Juzi nilipika chapati za maji aka kumimina but nikaweka vitunguu maji na saumu wa wakati mmoja pamoja na tangawizi. nilikula mbili nikasikia kama nimekunywa K vanT kubwa.

Je kuna mapishi ya namna hiyo au ni hatari.
Chapati ukishaweka vitu hivyo tu sili
 
Pole mkuu ila fahamu kuwa kuna baadhi ya viungo vya kupikia na hicho unachokipika haviendani ndio maana matokeo yakawa hivyo
unataka kusema hizo chapati sikupika
 
Hongera umefikia hatua ya kutambuliwa kama mgunduzi wa chapati pombe, unashiba huku unalewa. Kiufupi ni 2 in 1
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nahisi itakuwa tamu Sana,Ila vitunguu saumu usitwangwe vikatwekatwe Kama vile vya kwenye Chinese foods
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Nimecheka
Mimi nijuavyo chapat za kumimina haziwekwi vitunguu Swaumu ๐Ÿ˜€
Aina ya kwanza Kwa wasiopenda mambo mengi
Ngano
Maji
Mayai
Sukar/chumvi
Vanilla flavour
Namna nyingine
Ngano
Maji
Mayai
Chumvi/ sukari
Vitunguu maji na karoti kias
Zipo pia za mboga mboga hiv sijafatilia upishi wake Kila la kheri
 
IPO recipe nyingine,
Ngano.
Kitunguuu maji na saumu,
Mayai
Chumvi na sukar kidogo inakuwa tamu tu
 
Shangazii unifundishagee jaman [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ