Mahakamani inatakiwa upewe risiti unapopata huduma ya notary public.Rabbit au Rubbish utajua utakapochajiwa 2000/3000/5000 na lazima utoe bila hivyo karatasi yenyewe yenye muhuri haupewi sio hapo TU hata ukienda mahakamani shughuli ni hio hio lazima ulipie muhuri na Saini
Huwez kudanganya kwamba umeishi eneo hlo miaka yote 30 wakati huyo kiongozi kaongoza huo mtaa kwa miaka zaidi ya 20, kwa hyo huwez kudanganya kwa sabab ye anawajua wakaz wake WALIOZALIWA HAPO almost wote.Swali moja hua unaulizwa umeishia hapa kwa muda gani? Km ni chini sana ya umri wako lazima wakuchaji kimfano una miaka 30 unaulizwa umeishia hapa kwa mda gani ukisema miaka yote 30 hawana tatizo na wewe unapigiwa bure ukisema miaka 2 au 3 wewe unaonekana wa kuja lazima uchajiwe tu na kweli lazima ikutoke maana huna namna
Kwan hlo ni tamko au sheria kamili?? Mana hii nchi ina matamko kibao afu ukifika pale ofcn ukiwa man to man yaan ww na mhudumu anakwambia "hlo ni tamko la kisiasa"Na hili agizo la Jerry Slaa kutaka hao viongozi wa mitaa wasitumike kwenye mchakato wa mauziano ya ardhi itasababisha hiyo mihuri wagonge hata kwa 50K.
Maana mrija nuo umekatwa!
Kwa hio lazima ulipie tu hauna namna hata mahakamani wanachaji kupiga muhuri Ila ukiwa wa hapo hapo huchajiwi hata 100 mbovu wewe unavuta muhuri unagonga unapelekwa kwa Muheshimiwa anatia Saini akiona ni ya kwako hakuombi hata 100 nyeusi kwa hio wakuja lazima wachajiwe inabidi uelewe inamaanisha niniHuwez kudanganya kwamba umeishi eneo hlo miaka yote 30 wakati huyo kiongozi kaongoza huo mtaa kwa miaka zaidi ya 20, kwa hyo huwez kudanganya kwa sabab ye anawajua wakaz wake WALIOZALIWA HAPO almost wote.
Siyo agizo lake bali kisheria hawatambuliki wala siyo kazi yao. Ukienda mahakani na document ya mauziano ya ardhi iliyosimamiwa na kiongozi wa mtaa haitatambulika. Hii ni sheria ya siku tangu zamani japo ni watu wengi walikuwa wanawatumia bila kujua. Na pia huyo Jerry hana mamlaka ya kutoa agizo la namna hiyo.Na hili agizo la Jerry Slaa kutaka hao viongozi wa mitaa wasitumike kwenye mchakato wa mauziano ya ardhi itasababisha hiyo mihuri wagonge hata kwa 50K.
Maana mrija nuo umekatwa!
Kwani wanakupangia?Huelewei maana ya kujitolea, ukijitolea haupangi utalipwa nini au kiasi gani, unayemhudumia ndio anaamua.
Ndio risti unapewa Ila zingine sio lazima risti zinapita juu kwa juu tu, mchezo umeishia hapoMahakamani inatakiwa upewe risiti unapopata huduma ya notary public.
Wengine wanakuambia kabisa kiasi cha kuwapa.Kwani wanakupangia?
Hao wanakosea ila mara nyingi wansema weka yoyote uliyonayoWengine wanakuambia kabisa kiasi cha kuwapa.
Mnakubali huo ujinga ndio maana dhuluma na rushwa haziishiRabbit au Rubbish utajua utakapochajiwa 2000/3000/5000 na lazima utoe bila hivyo karatasi yenyewe yenye muhuri haupewi sio hapo TU hata ukienda mahakamani shughuli ni hio hio lazima ulipie muhuri na Saini
Walipwe basi wewe unaweza kufanya kazi bure? Unafanya kazi hupewi hata maji ya kunywa utakubari?Mnakubali huo ujinga ndio maana dhuluma na rushwa haziishi
Yoda zipo kazi za kujitolea lakini huambatana na motisha wa kazi ndani yake. Motisha kama huu unaweza kuwa haupo bayana kutokana mazingira ya kazi husika.Huelewei maana ya kujitolea, ukijitolea haupangi utalipwa nini au kiasi gani, unayemhudumia ndio anaamua.
Sheria inasemaje?Walipwe basi wewe unaweza kufanya kazi bure? Unafanya kazi hupewi hata maji ya kunywa utakubari?
Sheria haiwezi kufunction kila sehemu sehemu zingine unajipongeza ukisubiri Sheria unasemaje mambo hayaendiSheria inasemaje?
👎Sheria haiwezi kufunction kila sehemu sehemu zingine unajipongeza ukisubiri Sheria unasemaje mambo hayaendi
Mzee kuna kesi ukipelekwa mahakamani inahamishiwa kwa wazee wa Baraza usikariri masheria ovyo ovyo shtuka