Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Wakuu ni sawa mahakama kutumia lugha ya kigeni katika kusikiliza kesi yaani kutumia sheria ambayo ime chapishwa kwa lugha ya kigeni?
Au ni utumwa
Au ni utumwa
Nimeuliza kwa jumla si jalenga mtuMbona hauulizi mahakama kutoa hukumu kwa lugha ya kigeni hata kwa ambaye hajawai kwenda shule?.
Hakuna kesi pale ni kusumbuanaMahakama yenyewe imepooza utafikiri watu wako wodini huku yule shahidi akiwa kama mgonjwa wa akili kwenye hiyo wodi