Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
Nimeuliza kwa jumla si jalenga mtuMbona hauulizi mahakama kutoa hukumu kwa lugha ya kigeni hata kwa ambaye hajawai kwenda shule?.
Hakuna kesi pale ni kusumbuanaMahakama yenyewe imepooza utafikiri watu wako wodini huku yule shahidi akiwa kama mgonjwa wa akili kwenye hiyo wodi