HOJA Je, ni sawa na haki kwa Wanafunzi kulishwa Makande kila siku wanapokuwa shule?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Mimi ni mzazi mwenye mwanafunzi anayesoma katika Shule ya Sekondari Likamba, iliyopo Arusha. Kero yangu ni kuhusu huduma ya chakula wanayopewa wanafunzi wa bweni.

Sisi wazazi tunalipa Shilingi 40,000 kwa mwezi, lakini watoto wanalishwa makande kila siku. Je, hii ni sawa na haki kwa mwanafunzi wa bweni?

Jambo lingine linalotupa wasiwasi ni uongozi wa shule kuwalazimisha watoto kukaa kambini, wakati huduma ya chakula haipo vizuri.

Tunaomba kufahamu, kwa nini wanafunzi walazimishwe kukaa kambini ikiwa huduma muhimu kama chakula haijatolewa kwa kiwango kinachostahili?
 
Kama mlikubaliana ni SAWA!
 
Kwa bei ya 40000 kwa mwezi mzazi unategemea wale nini
 
Kwa nini watoto wasile huko makwao chakula watakacho
 
Mimi ni mzazi mwenye mwanafunzi anayesoma katika Shule ya Sekondari Likamba, iliyopo Arusha. Kero yangu ni kuhusu huduma ya chakula wanayopewa wanafunzi wa bweni.

Sisi wazazi tunalipa Shilingi 40,000 kwa mwezi, lakini watoto wanalishwa makande kila siku. Je, hii ni sawa na haki kwa mwanafunzi wa bweni?

Jambo lingine linalotupa wasiwasi ni uongozi wa shule kuwalazimisha watoto kukaa kambini, wakati huduma ya chakula haipo vizuri.

Tunaomba kufahamu, kwa nini wanafunzi walazimishwe kukaa kambini ikiwa huduma muhimu kama chakula haijatolewa kwa kiwango kinachostahili?
Hapana, wachanganye na ugali
 
Kwa maisha ya vijijini kande ni chakula cha kitajiri sana

Ugali na kande gharama za upishi kande ni zaidi

Unaweza kumpa mwanao pocket money ya kutosha ili anunue anachotaka. Nadhani kila shule ina option hiyo
 
Ndo maana udumavu hauishi hasa Tanzania, makande kila siku........

Menu ya shule ilitakiwa iwe hivi
1. Asubh- Mkate na maziwa na yai Moja
2. Mchana- Dona, maharage na mboga za majan au kachumbar
3. Usku - Ndizi mbivu 1, makande
 
Back
Top Bottom