eretzisrael
JF-Expert Member
- Jul 9, 2016
- 331
- 474
inategea...Walla sio uboya mbon ni kawaida tu
We kwako kipimo cha ujanja au uboya ni nini?Mwanaume kufanya kazi za nyumbani kama kupika,kuosha vyombo na kudeki....ni ujanja au uboya
Kipimo cha ujanja au uboya ni kuuliza swali juu ya swaliWe kwako kipimo cha ujanja au uboya ni nini?
Kwangu mimi kipimo cha ujanja au uboya ni kwa kuangalia majibu yanakidhi au hayakidhi swaliKipimo cha ujanja au uboya ni kuuliza swali juu ya swali
Mkuu hakuja haja ya kucomplicate swali lilikua rahisi sana tuKwangu mimi kipimo cha ujanja au uboya ni kwa kuangalia majibu yanakidhi au hayakidhi swali