Je ni Sawa????

Je ni Sawa????

eretzisrael

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2016
Posts
331
Reaction score
474
Mwanaume kufanya kazi za nyumbani kama kupika,kuosha vyombo na kudeki....ni ujanja au uboya
 
Ni kazi kama kazi zingine
Hata kumfulia ch*pi mkeo au mpenzi wake pamoja na nguo zake zingine,
Usafi ndani na nje ya nyumba yako, ni sawa kwa mwanaume kufanya ni lazima mgawane majukumu na sio upande mmoja tu ndio afanye hivyo.
 
napenda san kufanya ivo,kumsaidia mam angu pia nitamsaidia mke wang.so sio ujajnja wala uboya....ni kitu cha busara na upendo.
 
Sio uboya kumsaidia mara kwa mara. Tatizo lipo pale akikuzoea ndio utakoma. Wengine hufikia hatua ya kuichukulia kawaida kwamba anachat chat kwa simu akicheka cheka kichizi huku akitegemea ufanye kazi zote hizo.
 
Back
Top Bottom