DOKEZO Je, ni Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Tafsiri halisi ya malipo haya ni ipi?

Je, ni kwamba Serikali imeshindwa kugharamia kikamilifu utekelezaji wa sera ya elimu bila ada, au shule zimebaini kuwa fedha zinazotolewa hazitoshelezi mahitaji ya uendeshaji na utoaji wa elimu bora, hivyo zimelazimika kutafuta njia mbadala za kuziba pengo hilo?

Ni muhimu mamlaka husika zitoe ufafanuzi ili wananchi waelewe msingi wa malipo haya na kama yanaendana na sera ya elimu bila ada.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…