Naomba nijibu kirahisi mtaa niliopo utakusanya taka zako akipita mtu unampa 1000 anapeleka dampo
Mtaa niliotoka tulikuwa tunalipa Kisha gari inakuja inachukua Kila mwezi
Hizi ni gharama za usafi tujitahidi kuzitekeleza kulingana na maeneo tuliyopo dar ni chafu sana