Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

Hahaha unaziamini sana scania.. ilikuwa ni R420 na hiyo nyingine ilikuwa ni G!

Ile man sikuiona vizuri sababu ni usiku lakini kwa mwendo ule haikuwa ya kinyonge!

Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Daaah scania naiaminia sana juzi apa nimecheki wamezipimisha uwezo scania mpya 770 v8 na Benz mpya scania kaichapa Benz.
 
Kuna siku nilikuwa natoana jasho na ile bin salum nyeupe mpya! Gafla ilitokea MAN moja ya Burundi ikatupoteza na hatukuiona tena!!!

Nilikuwa 120 ila tulipitwa kama tunapark[emoji28][emoji28][emoji28]

Sorry kwa kwenda nje ya mada mkuu..
Hii mkuu? ilikuwa njia ya wapi na wewe ulikuwa na chuma gani?
20220615_141726.jpg
 
200 kwa barabara niliyokuwa naifahamu vizuri ila siku hizi nafika kwenye 160 kwenye overtaking alafu nashusha mpaka 150 kwenye barabara nazozifahamu, barabara nisizozifahamu natembea kwenye 120 hadi 140 kwa tahadhari na ni wakati ambao si wa giza.
Tahadhari muhimu mkuu.
 
Kumbe ni G. Unasemea hii hapa.[emoji1370]View attachment 2306056
Ndio Ndio mkuu ni hii! Ilinipita kwa mbwembwe sana , nilikuwa na R420 nikaona nitoane nae jasho ghafla likatokea hilo jini likatupangua wote likapotea[emoji28][emoji28][emoji28]

Nikakata tamaa hata hiyo bin salum nikaiacha isepe zake isinikaushie diesel bure!
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mkuu.
 
170km/hr mza dar 2021 hinda crossroad nlikuwa na vichwa 7 waligoma kurudi a mm nusu ya abiria
Inawezekana unaenda mwendo huo na uko rafu ndio maana waligoma kurudi na wewe. Kuna watu wako rafu hata 100kph unakuwa roho juu na kuna watu wanatembea 160-200kph kwa utulivu hadi abiria wanakuwa hawajui kuwa wako over 180kph.
 
skumbuki vzuri 240 au 220kph.. na bmw x5 2008 cc 3000 petrol ya mdingi ya kustaafia.. njia dodoma kuitafuta singida.. ina kichaa ile gari.. ngoja niende cloud niwachukulie video/image

pia mark x nlikua nagonga 160...naacha 20

saivi hayo mambo sina tena..natembea average 120/140
Muwe mnaandaa urithi kabisa na kutukabidhi wake zenu ili siku mkipiga mzingo tuwale vizuri

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Inawezekana unaenda mwendo huo na uko rafu ndio maana waligoma kurudi na wewe. Kuna watu wako rafu hata 100kph unakuwa roho juu na kuna watu wanatembea 160-200kph kwa utulivu hadi abiria wanakuwa hawajui kuwa wako over 180kph.
Mtu anafinya mabreki ya ghafla ghafla yani tafrani😂😂😂 mara kachomekea chomekea hovyo. Hajaona tuta kawarusha abiria juu
 
Mtu anafinya mabreki ya ghafla ghafla yani tafrani[emoji23][emoji23][emoji23] mara kachomekea chomekea hovyo. Hajaona tuta kawarusha abiria juu
[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hata kusinzia huwezi, lazima uwe msaidizi wa dereva kuangalia mbele.
 
Mtu anafinya mabreki ya ghafla ghafla yani tafrani😂😂😂 mara kachomekea chomekea hovyo. Hajaona tuta kawarusha abiria juu
Anaendesha kama yuko kwenye foleni za kilwa road,vurugu mtindo mmoja!
 
Back
Top Bottom