mlima wa mizeituni
JF-Expert Member
- Sep 7, 2019
- 1,387
- 2,444
Hahaha unaziamini sana scania.. ilikuwa ni R420 na hiyo nyingine ilikuwa ni G!Scania gani mkuu basi mlitakiwa muwe na benz au volvo
Daaah scania naiaminia sana juzi apa nimecheki wamezipimisha uwezo scania mpya 770 v8 na Benz mpya scania kaichapa Benz.Hahaha unaziamini sana scania.. ilikuwa ni R420 na hiyo nyingine ilikuwa ni G!
Ile man sikuiona vizuri sababu ni usiku lakini kwa mwendo ule haikuwa ya kinyonge!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Hii mkuu? ilikuwa njia ya wapi na wewe ulikuwa na chuma gani?Kuna siku nilikuwa natoana jasho na ile bin salum nyeupe mpya! Gafla ilitokea MAN moja ya Burundi ikatupoteza na hatukuiona tena!!!
Nilikuwa 120 ila tulipitwa kama tunapark[emoji28][emoji28][emoji28]
Sorry kwa kwenda nje ya mada mkuu..
Tahadhari muhimu mkuu.200 kwa barabara niliyokuwa naifahamu vizuri ila siku hizi nafika kwenye 160 kwenye overtaking alafu nashusha mpaka 150 kwenye barabara nazozifahamu, barabara nisizozifahamu natembea kwenye 120 hadi 140 kwa tahadhari na ni wakati ambao si wa giza.
Kumbe ni G. Unasemea hii hapa.[emoji1370]Hahaha unaziamini sana scania.. ilikuwa ni R420 na hiyo nyingine ilikuwa ni G!
Ile man sikuiona vizuri sababu ni usiku lakini kwa mwendo ule haikuwa ya kinyonge!
Sent from my SM-J105H using JamiiForums mobile app
Gari zingne comfortabity ipo chini sana, yani ukitembea 120kph tu unahisi kama matairi yanataka kuchomoka.Nimewahi kwenda mpaka 220, nilikuwa naendesha VW POLO TSI 2014 model, ukiwa ndani haujioni kama uko speed kivile just kuna kauoga flani na wasiwasi wa PoliceView attachment 2306095View attachment 2306096
Ndio Ndio mkuu ni hii! Ilinipita kwa mbwembwe sana , nilikuwa na R420 nikaona nitoane nae jasho ghafla likatokea hilo jini likatupangua wote likapotea[emoji28][emoji28][emoji28]Kumbe ni G. Unasemea hii hapa.[emoji1370]View attachment 2306056
[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio Ndio mkuu ni hii! Ilinipita kwa mbwembwe sana , nilikuwa na R420 nikaona nitoane nae jasho ghafla likatokea hilo jini likatupangua wote likapotea[emoji28][emoji28][emoji28]
Nikakata tamaa hata hiyo bin salum nikaiacha isepe zake isinikaushie diesel bure!
Kwa huyo Mjapani!!!! Unataka kifo cha kulazimisha170km/hr mza dar 2021 hinda crossroad nlikuwa na vichwa 7 waligoma kurudi a mm nusu ya abiria
Inawezekana unaenda mwendo huo na uko rafu ndio maana waligoma kurudi na wewe. Kuna watu wako rafu hata 100kph unakuwa roho juu na kuna watu wanatembea 160-200kph kwa utulivu hadi abiria wanakuwa hawajui kuwa wako over 180kph.170km/hr mza dar 2021 hinda crossroad nlikuwa na vichwa 7 waligoma kurudi a mm nusu ya abiria
Unaweza kuta huyu hatumii hata Condoms kwenye tendo pendwahofu yako sio hofu ya wengine. Unacho hofia wewe sio lazima na mwingine ahofie
Muwe mnaandaa urithi kabisa na kutukabidhi wake zenu ili siku mkipiga mzingo tuwale vizuriskumbuki vzuri 240 au 220kph.. na bmw x5 2008 cc 3000 petrol ya mdingi ya kustaafia.. njia dodoma kuitafuta singida.. ina kichaa ile gari.. ngoja niende cloud niwachukulie video/image
pia mark x nlikua nagonga 160...naacha 20
saivi hayo mambo sina tena..natembea average 120/140
Mtu anafinya mabreki ya ghafla ghafla yani tafrani😂😂😂 mara kachomekea chomekea hovyo. Hajaona tuta kawarusha abiria juuInawezekana unaenda mwendo huo na uko rafu ndio maana waligoma kurudi na wewe. Kuna watu wako rafu hata 100kph unakuwa roho juu na kuna watu wanatembea 160-200kph kwa utulivu hadi abiria wanakuwa hawajui kuwa wako over 180kph.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mtu anafinya mabreki ya ghafla ghafla yani tafrani[emoji23][emoji23][emoji23] mara kachomekea chomekea hovyo. Hajaona tuta kawarusha abiria juu
Anaendesha kama yuko kwenye foleni za kilwa road,vurugu mtindo mmoja!Mtu anafinya mabreki ya ghafla ghafla yani tafrani😂😂😂 mara kachomekea chomekea hovyo. Hajaona tuta kawarusha abiria juu
Huko Finland miaka ya 2000 nikikuwa na opel omega toka Helsinki to Tampere 210km/hAutobahn nikiwa na Audi SQ8 speed niliishia 220 kph.