Je, ni Speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki?

1jz ilikuwa na issue ya kuvujisha oil kwa chini wakafungua wakarekebisha wakazalisha tatizo la kuvujisha kwa pembeni ambayo haidondoki inaishia kutengeneza utando na vumbi pembeni so haidondoki chini Ili ijulikane, gari ilimwagwa oil ikatembea km 600 tu ikaisha ikaanza kuunguza mapiston. From there kila kitu kikawa mtihani kuhusu kubadilisha engine nyingine nikawa napata feki Hadi Leo lipo garage
Pole sana mkuu, unapataje engine fake? Au unanunua engine zilizotumika bongo?
 
Hivi ukiendesha kwa "spidi kali sana" unapata faida gani?

Mimi nilijua wavuta bangi ndiyo hufanya hivyo, kumbe mpaka majitu mazima?
Faida yake ni kuwahi. Hasara yake ajali so akili kichwani mwako
 
170 out of 180 mara nyingi huwa natembea na 120 to 150 nikiwa naenda dar dom au dom dar au mbeya dom nk
 
Kwema wakuu, je ni speed gani kubwa zaidi ushawahi kutembea na gari au pikipiki na ilikuwa ni gari gani au pikipiki gani?

Nikianza mie nakumbuka mwaka 2017 nilikuwa na Cresta GX100 yenye engine ya 1jz turbo dashboard iliwahi kusoma 186 Kph (Dashboard ilikuwa ya digital) na ilikuwa ni sehemu inaitwa Samuye kuna down hivi kali kuitafuta Shinyanga. Nilikuwa na ndugu yangu alipiga kelele sana kuwa mwendo ni mkali ila nimuuliza tu "KWANI MIE NIPO NJE YA GARI?" [emoji23][emoji16]

Pia nakumbuka kuna jamaa yangu alinunua pikipiki Kawasaki Ninja Z2 ina speed 260 nikasema ebu ngoja niitest [emoji16], bwana wee, nikaingia Kilwa Road kuanzia pale Kurasini Mivinjeni kuelekea uhasibu T.I.A yani ile nimepiga gear ya kwanza hadi ya nne mafuta mengii naona chuma inasoma 190+. Weeee nilipunguza mwenyew bila kuambiwa.
[emoji23][emoji23]

Naombeni experience zenu wakuu kwenye masuala ya Speed.

RRONDO
Extrovert
Bavaria
JITU LA MIRABA MINNE

View attachment 2291079
1.07925285E9 kilometers / hour
 
150 kwa pikipiki😂
 
Back
Top Bottom