Je, ni "Stamina" au "Size" ya uume ndio humfanya mwanamke afurahie zaidi ngono?

Je, ni "Stamina" au "Size" ya uume ndio humfanya mwanamke afurahie zaidi ngono?

Megalodon

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,534
Reaction score
7,866
Guys , ni muhimu sana tukajua mustakabali wa kizazi chetu. Tumeona Vijana wengi sana wakiingia kwenye wimbi la kutumia madawa ya kuongeza size ya uume ikiaminika kwamba ni kitu ambacho mwanamke anapenda na ni ishara ya URIJALI na USHUJA.

Katika generation ya sasa, the average penis kwa urefu ni between 5.1 and 5.5 inches (12.95-13.97 cm), nje ya hapo wewe ni EXCEPTION.

Kadhalika ifahamike kwamba size ya Uume au Uke huwa ni genetic encryptions na inheritance kama ilivyo weusi na weupe, urefu na ufupi. Kuna portion ndogo sana kubadili huo ukweli.

Hakuna kitu ambacho kitaweza like seriously kuongeza uume wako bila ya kuwa na madhara in the future, moja ya madhara yake ni kupoteza stability na kushindwa kusimama kabjsa.

Wakati mwingine tukubali kwamba shida ipo kwa wanawake wetu ambapo ELASTICITY ya uke inaharibika hivyo kutengeneza hole ambayo it needs something bigger than the hole itself to create friction and feel pleasure.

Takwimu zinaonesha kwamba asilimia 80% ya married couples wana multiple relationships nje ya ndoa zao, huku wanaume ikiwa ni sehemu ya tamaa na wanawake ikiwa ni sehemu ya kutafuta sexual satisfaction.

When it comes to sexual satisfaction, mwanamke ndiyo inamuathiri sana na kama haipati ndani ..... no way ni lazima akaitafute nje.

Aidha, Wakati mwingine kwa mwanamke kuchepuka sio umalaya bali ameshindwa kupata sexual satisfaction ndani ya nyumba ....siamini kama ni dhambi kwa mwanamke kutoka nje ya ndoa ikiwa kwa namna yoyote ameshindwa kupata Climx ndani ya nyumba. Wanaume wengi ni selfish na wana ignore hisia za mwenza aliye nyumbani. Ukiona mke wako au mwenza wako humfikishi to climax, and she never talks about it ..... jua unasaidiwa no way , only anafanya kwa akili ili mtunze familia .

There is nothing makes woman CRAZY than sexual satisfaction,let that sink in [emoji1630]

Naleta hii mada wadau kujadili, na wadada mtuambie, What matters to you;

Stamina ya mwanaume during foreplay ndiyo inayokuletea satisfaction au Ni saizi ya uume wake mkubwa more than 6 Inches ndiyo inakuletea satisfaction?

Kama ni Saizi ya Uume, What if uume ni mkubwa lakini hauna STAMINA, yaan chini ya dakika 5 mtu ameshatapika huku wewe umeachwa na Unfinished Pleasure , Je size itaendelea kuwa ni kigezo kwako ?

Tufunguke kusaidia jamii kuacha kukimbizana na vumbi la Congo na mitishamba inayowapelekea kupata shida za FIGO.

Stamina or Size that leads to Sexual Satisfaction( Divine Transcendence Beyond Time and Infinity Pleasure)
 
Sawa. Na wengi ni Average Size.

Kelele nyingi za wanawake wa Sasa ni wanaume kushindwa kuwapa sexual satisfaction, je hii sexual satisfaction inatokana kuwa Na Average size badala ya big size , au ni kutokana na ukosefu wa stamina. Yaani if a woman is to choose only one category Mtu mwenye stamina au mtu mwenye Big Pen more than 6 inches , atachagua nini ili apate Satisfaction?
Kama dhana ya uzi wako n hii, Basi subiri madem waje wakujibu
 
Yeye akipiga kelele katikati ya mchezo ndio anafika kileleni na hili huwa hawezi kujizuia hata tukifanya ukweni

Anapenda stamina because i have kibamia

Hajawahi kuniambia na siwezi kumuuliza

Nalog off

Ha ha Ushawahi kuchunguza kuujua ukweli .kama unatapika Atleast two times a week ..... that is good sign hauibiwi
 
Back
Top Bottom