CHASHA FARMING JF-Expert Member Joined Jun 4, 2011 Posts 7,872 Reaction score 9,263 Aug 20, 2017 #1 Habari Wajasiriamali na Ma expexted Entrepreneurs. Nilikuwa na pitia Uzi wa ONTARIO that is very nice stories na watu wana furahia sana kusikiliza story za mafanikio. Watu wanapata hamasa sana. Je; Unahitaji stories idadi gani ili uanze kutengeneza ya kwako mwenyewe? My friend unaweza sikiliza even 10 milion stories au zaidi ya hizo ila kama kama huja kata shauri basi ni kazi bure. Unaweza kuta ONTARIO alisikikiza one stories au hakusikiliza kabisa ila aliamua tu kutaka off. "People LOVE a good success story. They get inspired. It allows them to begin dreaming…. what if, what if, what if…..and then the alarm goes off" Sent using Jamii Forums mobile app
Habari Wajasiriamali na Ma expexted Entrepreneurs. Nilikuwa na pitia Uzi wa ONTARIO that is very nice stories na watu wana furahia sana kusikiliza story za mafanikio. Watu wanapata hamasa sana. Je; Unahitaji stories idadi gani ili uanze kutengeneza ya kwako mwenyewe? My friend unaweza sikiliza even 10 milion stories au zaidi ya hizo ila kama kama huja kata shauri basi ni kazi bure. Unaweza kuta ONTARIO alisikikiza one stories au hakusikiliza kabisa ila aliamua tu kutaka off. "People LOVE a good success story. They get inspired. It allows them to begin dreaming…. what if, what if, what if…..and then the alarm goes off" Sent using Jamii Forums mobile app
titimunda JF-Expert Member Joined Nov 26, 2014 Posts 7,571 Reaction score 9,789 Aug 20, 2017 #2 Story na maisha ya Jamaa wakuitwa Paul Alen,muanzilishi mwenza wa Microsoft Sent using Jamii Forums mobile app
Story na maisha ya Jamaa wakuitwa Paul Alen,muanzilishi mwenza wa Microsoft Sent using Jamii Forums mobile app