CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Habari Wajasiriamali na Ma expexted Entrepreneurs.
Nilikuwa na pitia Uzi wa ONTARIO that is very nice stories na watu wana furahia sana kusikiliza story za mafanikio. Watu wanapata hamasa sana.
Je;
Unahitaji stories idadi gani ili uanze kutengeneza ya kwako mwenyewe?
My friend unaweza sikiliza even 10 milion stories au zaidi ya hizo ila kama kama huja kata shauri basi ni kazi bure.
Unaweza kuta ONTARIO alisikikiza one stories au hakusikiliza kabisa ila aliamua tu kutaka off.
"People LOVE a good success story. They get inspired. It allows them to begin dreaming…. what if, what if, what if…..and then the alarm goes off"
Sent using Jamii Forums mobile app