Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Habari zenu Leo ni weekend.
Wengi time chill tu home wengine wameenda viwanja, wengine wana hang over za jana yaani ilimradi ni weekend. Niende kwenye mada.
Wote sisi ni one familiy hapa JF lakini kila member ana tabia zake ambazo kwa namna moja ama nyingine zinakukwaza ila hujapata nafasi ya kusema.
Basi vuta pumzi nafasi yenyewe ndo hii funguka bila kuacha hata chembe tabia usiyoipenda humu jukwaani.
Great thinker