Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Hii ni moja ya tabia ambayo inachukiza wengi hapa jukwaani we mtoto wa kiume jiangalieThread za kibwabwa kama za kina Jordi Pola wanashusha hadhi ya jf kwakweli.
Nakuunga mkonoThread za kibwabwa kama za kina Jordi Pola wanashusha hadhi ya jf kwakweli.
Salamu ni popote, JF watu hukutana ndani ya thread sasa wataka wasisalimiane!?Watu kusalimiana katikati ya thread.najiuliza hivi wazima vichwani kwao kweli..
Hilo jiwe litakae mpata atulie..ajifunze kitu naenda pm Katoe salamSalamu ni popote, JF watu hukutana ndani ya thread sasa wataka wasisalimiane!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii tabia yako na Mimi siipendi ya personal attack,mtu akitofautiana na wewe hakuna haja ya kutumia maneno magumu kama "jiwe kumpata" sasa unavyodhani hapa JF unamuumiza nani? Maana Tafsiri ya jiwe kumpata mtu ni kumuumizaHilo jiwe litakae mpata atulie..ajifunze kitu naenda pm Katoe salam
Mkuu don't take it personal..sina nia ya kumuumiza mtu nia ni kujifunza tu..soma muanzisha thread amesemaje basi..au amemaanisha nini..[emoji1]Hii tabia yako na Mimi siipendi ya personal attack,mtu akitofautiana na wewe hakuna haja ya kutumia maneno magumu kama "jiwe kumpata" sasa unavyodhani hapa JF unamuumiza nani? Maana Tafsiri ya jiwe kumpata mtu ni kumuumiza
Sent using Jamii Forums mobile app
Inakera sana hii.Sipendezwi na mtu akichangia / au kutoa mada analazimisha kila mtu akubali alichosema yeye.