Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Hoja mezani kaka kama huna mawazo pls kalaleMtu kujiona ni Great thinker kumbe ni great sinker
Sent from my Huawei mate 9
KweliThread za kibwabwa kama za kina Jordi Pola wanashusha hadhi ya jf kwakweli.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mtu kujiona ni Great thinker kumbe ni great sinker
Sent from my Huawei mate 9
Hahaha na kuna watu wana mijitusi humu cc AllepoSipendezwi na mtu akichangia / au kutoa mada analazimisha kila mtu akubali alichosema yeye. Anayekuwa kinyume naye anapewa matusi mpaka ya nguoni wakati mwingine mpaka wazazi wake hutukanwa. Lazima tukubaliane kutokukubaliana.