kimara Kimara Senior Member Joined Jul 7, 2024 Posts 141 Reaction score 287 Nov 10, 2025 #1 Habari za muda Huu wadau, naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
Habari za muda Huu wadau, naomba kufahamu ili kupata hati ya kiwanja/ nyumba ni Hatua zipi zinatakiwa kufuatwa na inahtajika taarifa zipi, Gharama kiasi gani na inachukua muda gani kupata hati yako asante
kimara Kimara Senior Member Joined Jul 7, 2024 Posts 141 Reaction score 287 Nov 10, 2025 Thread starter #2
Mjusi Sharobalo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2025 Posts 8,306 Reaction score 14,632 Nov 10, 2025 #3 Ukiwa na ndugu mvaa majani hiyo ni kazi ndogo sana tofauti na hapo itabidi uzunguke mbuyu.