Je, ni tatizo kupenda ngono?

Je, ni tatizo kupenda ngono?

Kabakabana

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
5,550
Reaction score
1,165
wanajf mimi ninapenda ngono au tendo la ndoa,haziwezi kupita siku mbili sijafanya hilo tendo.je nina tatizo?
 
Hapana ndugu unaimarisha upungufu wa kufikiria na kudhoofisha mwili. japo yategemea na msosi unaoupata par day.
 
hakuna tatizo we mega tu hata ukitaka kila siku. Ni nguvu zako tu mkuu.
 
kila siku!!! mtu gani anawezza kukuvumilia kila siku?au unabadili wapenzi sana?
 
Ngono au tendo la ndoa!! Kama ni tendo la ndoa basi una tatizo maana huna mda wa kufikiria mambo ya kimaendeleo na my wife wako. Kama ni ngono huna tatizo maana unajaribu kuondoa frustlation za ugumu wa maisha.
 
Ngono au tendo la ndoa!! Kama ni tendo la ndoa basi una tatizo maana huna mda wa kufikiria mambo ya kimaendeleo na my wife wako. Kama ni ngono huna tatizo maana bado mdogo ukikua ukaugua preasure, kisukari, utaacha.
 
Usiseme bana mbunye ni tamu baana ndo mana liyumba yuko jela sababu ya vicky kamata na kina babu seya ndo wote hao mtu mmoja tu sababu ya ngono kawafungA c mnamjua jamaniiiii
 
Una matatizo onana na dactar siku mpenz wako akisafil mwez c utabaka ww
 
Sioni kama ni tatizo kupenda... ili mradi kama huendi extrems za 'V' unneccessarily...
 
inaweza kuwa tatizo kwa sababu najua huwezi kufanya mapenzi na mwanamke mmjo tu kwa jinsi unavyosema sema wewe la sivyo unahitaji kutokuwa mwaminifu ili ratiba yako isivurugike na hapo ndipo tatizo linapokuja/
 
Wap riwa atupe mpango mzima. mi nionavyo hakuna tatizo hapo kama unafanya na mkeo lakin ndugu uwe na kias maana biblia inasema muwe na kiasi
 
Usiseme bana mbunye ni tamu baana ndo mana liyumba yuko jela sababu ya vicky kamata na kina babu seya ndo wote hao mtu mmoja tu sababu ya ngono kawafungA c mnamjua jamaniiiii
<br />
<br />
ebu mtaje banaaa,mi thimjui
 
Usipende cna ngono kwa kuw ckila k2 kweny maisha kwan inawzekana una familia inayokutegemea so be careful bro!
 
Back
Top Bottom