Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
kila siku!!! mtu gani anawezza kukuvumilia kila siku?au unabadili wapenzi sana?
I wonder huo uzinzi anaoufanya!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila siku!!! mtu gani anawezza kukuvumilia kila siku?au unabadili wapenzi sana?
Sioni kama ni tatizo kupenda... ili mradi kama huendi extrems za 'V' unneccessarily...
No!, huna tatizo..
Just hujaweza kujitofautisha na mnyama...
<br />wanajf mimi ninapenda ngono au tendo la ndoa,haziwezi kupita siku mbili sijafanya hilo tendo.je nina tatizo?
wanajf mimi ninapenda ngono au tendo la ndoa,haziwezi kupita siku mbili sijafanya hilo tendo.je nina tatizo?
Hapo umenena mkuu!!Kuna mfalme mmoja alikuwa anaitwa Daudi huko Israel yaani alikuwa na tabia kama yako. Aliamua kumuua Hamnoni askari wake sababu ya ngono. Lazima wewe utakuwa mzinzi kama huyo fisi huchagui mfupa wala nyama, tena ukijitaja jina lako nikagundua ni ndugu yangu basi undugu ungeisha leo.Maana haiwezekani kila siku uchinje kuku wako kuna siku utanunua au utaiba wa jirani. Pole uombewe na upepewe kabisa.
wanajf mimi ninapenda ngono au tendo la ndoa,haziwezi kupita siku mbili sijafanya hilo tendo.je nina tatizo?