mangimweusi
Member
- Sep 14, 2018
- 51
- 38
Thqnx.. Najua unakwenda na cash lkn nilikuwa natak kujua ubora wa tofali za kununua na kuwajili watu wanipigie ikiwa nawasimamia pia ghalam wap kuna kitonga hat nikasevu pesa kadhaa kwa jil ya mambo mengineShikamoo baba mwenye nyumba mtarajiwa.[emoji537]
By the way, tafuta mafundi wa3 kila mmoja kwa muda wake;watakupa mchongo wote wa ujenzi mwanzo mwisho.
Sasa wewe utapembua a-z ya ujenzi.
Halafu mangi kununua tofali unaenda na Cash yako mfukoni[emoji383]
Thqnx.. Najua unakwenda na cash lkn nilikuwa natak kujua ubora wa tofali za kununua na kuwajili watu wanipigie ikiwa nawasimamia pia ghalam wap kuna kitonga hat nikasevu pesa kadhaa kwa jil ya mambo mengine
Nip choresasa mangi bado hujasema uko wapi.!
utaelekezwaje.? Kwani uko Kishumundu au Mabwepande.?[emoji55]
Saw mkuu.Tofali 2000
Tofali 2000