mangimweusi
Member
- Sep 14, 2018
- 51
- 38
Habar..wakuu!!
Wenye ujuzi kidogo na haya mambo ya ujenz
Baad ya kujichangachang nimefanikiwa kupat kaeneo sasa nilikuwa naitaji kuanza ujenz lakn kwa awamu km mnavyojua life lenyew ni la kuunga unga kwaiy nilichoamua ni kujenga room 3 kimoj master,stoo,jiko,daining,sitting room
Je ni tofal ngp naitajika kuwa nazo ili niwez kupandixh mapk kwenye linta..!! 2. Je wap ni imar na bei rahis kweny kununua tofal au kununua pia hap kweny kufwatua tofal itabid mchang ninunue
Asante nawasilishaa